Mtoto aliyedaiwa kuuawa hifadhini kwa kupigwa risasi azikwa
Mwili wa Ngatipa Parmao(17), mkazi wa kijiji cha Pangaroo, Wilaya ya Mwanga, Mkoa wa Kilimanjaro anayedaiwa kuuawa na askari wa wanyamapori wa hifadhi ya Mkomazi, Wilaya ya Mwanga, mkoani humo...