Sabaya ataka kesi yake iharakishwe Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ameieleza Mahakama ya Hakimu mkazi Moshi kuwa anateseka gerezani kwa kuwa ni mgonjwa na akaomba upande wa mashtaka uharakishe upelelezi wa kesi...
Upande wa utetezi kesi ya Sabaya waeleza haya mahakamani Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne imeahirishwa hadi Julai 4, 2022 kutokana na upelelezi kutokamilika.
Sabaya, wenzake kizimbani tena leo Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne leo Jumatatu Juni 20, 2022 wamefikishwa mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kusikiliza mashtaka yanayowakabili ikiwemo uhujumu uchumi.
Sabaya, wenzake kizimbani tena kesho Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne kesho Jumatatu Juni 20,2022 watafikishwa tena katika mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kusikiliza tuhuma mbalimbali...
Sh4 bilioni zatengwa ujenzi mahakama ya Afrika Serikali imetenga Sh4 bilioni kwa ajili ya kuanza ujenzi wa majengo ya kudumu ya Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu na watu jijini Arusha.
Kagaigai ‘awaka’ Sh3.2 milioni kununua bastola Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai ameagiza wahusika walioidhinisha malipo ya Sh3.2 milioni kwa ajili ya ununuzi wa bastola ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi kuzirejesha.
RC Kagaigai avitaka vyombo vya usalama Kilimanjaro kusimamia haki ya mtoto Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai ameviagiza vyombo vya usalama mkoani humo kuhakikisha vinasimamia haki katika utekelezaji wa sheria dhidi ya vitendo vya ukatili.
Sabaya mgonjwa, kesi yaahirishwa Mawakili wa upande wa utetezi kwenye kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kuahirisha...
Kiongozi wa Mwenge agoma kuzindua miradi tisa Tanga Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa kwa mwaka 2022, Sahili Nyanzabara Geraruma amegoma kuzindua miradi 9 kati ya 82 yenye thamani ya zaidi ya Sh33 bilioni mkoani Tanga kutokana na...
DC Moshi awaonya wananchi waliotaka kuvuruga mradi wa maji Mkuu wa Wilaya ya Moshi (DC), Abbas Kayanda ametoa onyo kwa wananchi wa kijiji cha Mowo Kata ya Kimochi wilayani humo ambao walitaka kupinga na kuvuruga mradi wa maji unaotekelezwa kwa fedha za...