Mbunge wa Mbozi matatani kwa madai ya kumshambulia Katibu wa UVCCM
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe, limemhoji Mbunge wa Mbozi, George Mwenisongole kwa tuhuma za kupiga na kujeruhi, huku likiwatafuta watu wengine wawili wanaodaiwa pia kuhusika katika tukio hilo.