Mama amjeruhi mwanaye kwa kumchoma na panga Severa Tesha(32) mkazi wa Kijiji cha Ubetu, Kata ya Ubetu Kahe, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro amemchoma mwanaye kwa panga lenye moto sehemu za mapajani na kumsababishia majeraha na maumivu.
Waandishi wa habari watakiwa wasome vifungu vya sheria yao Wadau wa habari nchini wamewataka waandishi wa habari kutotumia vibaya uhuru uliopo kwa sasa kwani sheria zilizokuwa zikitumika katika awamu zilizopita ziko palepale.
Aliyemwagiwa tindikali apelekwa India kutibiwa Tariq Awadhi (31) leo Jumapili Mei 8, 2022 ameondoka nchini kuelekea India kwa ajili ya matibabu ya macho.
Wakimbiaji maarufu duniani kushiriki ‘World's Highest Marathon’ Kilimanjaro Wakimbiaji maarufu duniani wa mbio za uwanda wa juu kutoka nchi 8 wataweka rikodi ya kidunia kwa mara ya kwanza katika mashindano ya ‘Word's Highest Marathon’ ambayo yatafanyika katika Hifadhi ya...
Aliyemwagiwa tindikali kupelekwa India kutibiwa Wakati Tariq Awadhi (31) akifikisha siku 55 akiwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) baada ya kumwagiwa tindikali familia yake wameiomba Serikali na Watanzania...
Mwili wafukuliwa baada ya kukaa kaburini siku 53 Mwili wa Yunami Massawe (34) ambaye alifariki dunia Februari 27 mwaka huu, umefukuliwa baada ya kukaa kaburini kwa siku 53 ili kufanyiwa uchunguzi wa kitabibu (postmortem).
Rombo Marathoni kuhamasisha utalii Mbunge wa Rombo, Profesa Adolf Mkenda amesema katika sikukuu za mwisho wa mwaka kipindi ambacho wilaya hiyo inapokea wageni wengi kutoka sehemu mbalimbali watatumia nafasi hiyo kuanzisha Rombo...
Kilimanjaro kuchanja polio watoto 287,525 Kutokana na tishio jipya la mlipuko wa ugonjwa wa polio, Mkoa wa Kilimanjaro umejipanga kukabiliana na tishio hilo kwa kuchanja kiasi cha watoto 287,525 wenye umri chini ya miaka mitano.
Mtoto aliyedaiwa kufa kwa njaa afukuliwa, azikwa Mtoto Salah Jackson (5) aliyezikwa na mama yake kimyakimya usiku baada ya kudaiwa kufa njaa, leo amezikwa rasmi katika kijiji cha Makiwaru wilayani hapa Mkoa wa Kilimanjaro.
Shule kujengwa kukuza vipaji Naibu Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Tamisemi, David Silinde amesema mpango wa Serikali uliopo kwa sasa ni kujenga shule kwenye kanda 8 nchi nzima kuhakikisha wanakuza na kuibua vipaji mbalimbali...