Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1449 results for Janeth Joseph :

  1. Utata mwanamke anayedaiwa kumuua mwanaye na kumzika

    Hakika ukishangaa ya Mussa Utaona ya Firauni, ndiyo ambavyo unaweza kusema kwa tukio linalodaiwa kufanywa na a Rebbeca Siowi (30),mkazi wa kijiji cha Makiwaru mkoani Kilimanjaro.

  2. ‘Maji ya Upako’ yamuacha na majeraha mkazi wa Moshi

    Ummy Msika (45), mkazi wa kata ya Bomambuzi manispaa ya Moshi Mkoa wa Kilimanjaro amepata madhara mwilini baada ya rafiki yake kudaiwa kumpa maji ya uponyaji ‘upako’.

  3. Mama amzika mwanaye kimyakimya usiku baada ya kufa njaa

    Mtoto Salah Jackson (5) mwenye ulemavu wa viungo, mkazi wa kijiji cha Makiwaru, mkoani Kilimanjaro amefariki dunia kutokana na njaa na kisha mama yake mzazi kumzika kimya kimya usiku wa manane.

  4. Turkish Airlines yarejesha safari zake Tanzania

    Shirika la Ndege la Turkish Airlines la nchini Uturuki ambalo lilisitisha safari zake nchini 2020 kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Uviko 19 limetangaza kurejesha na safari zake June 2022 .

  5. Anayedaiwa kummwagia Tariq tindikali akamatwa

    Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mtu mmoja kwa tuhuma za kummwagia mkazi wa Manispaa ya Moshi, Tariq Awadhi (31) tindikali.

  6. Wananchi 24,000 kunufaika na mradi wa maji Rombo

    Mradi wa maji wa Njoro II uliogharimu Sh4.9 bilioni umeanza kutekelezwa mkoani Kilimanjaro utakaomaliza changamoto ya uhaba wa maji kwa zaidi ya wananchi 24,000 katika Tarafa za Tarekea, Usseri...

  7. Waumini watakiwa kukamilisha kwaresma

    Katika kuadhimisha kifo na mateso ya bwana wetu Yesu Kristu, Jimbo Katoliki la Moshi limeshangaa kuona baadhi ya Wakristu wakiwa kwenye maeneo mbalimbali wakila chips na nyama wakati wa siku ya...

  8. Profesa Mkenda ataka wenye ulemavu washirikishwe Sensa

    Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amewataka wananchi wa Wilaya ya Rombo kutowaficha watu wenye ulemavu wakati wa Sensa ya Watu na Makazi ifikapo Agosti 23, 2022

  9. Mdau wa utalii amwagiwa ‘tindikali’ Moshi

    Mdau wa utalii na mkazi wa Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Tariq Awadhi amedai kumwagiwa kimiminika kinachodhaniwa kuwa tindikali usoni.

  10. Mipaka ya Holili, Horohoro yapigwa jeki ujenzi wa vyoo

    Shirika la WaterAid kwa kushirikiana na Mtandao wa asasi zisizo za serikali zinazojihusisha na masuala ya maji na usafi wa mazingira (TAWASA NET) wamekabidhi mradi wa vyoo vya kisasa vyenye...

    New Content Item (1)
Previous

Page 113 of 145

Next