Hali ni tete upatikanaji damu nchini Hali ya upatikanaji wa damu katika vituo vya afya nchini imeelezwa kuwa ni tete huku makundi muhimu yanayohitaji damu yakipambania kidogo kinachopatikana.
KCMC yafanya upasuaji wa nyonga kwa mara ya kwanza Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) imefanikiwa kufanya upasuaji wa nyonga kwa wagonjwa wawili ikiwa ni mara ya kwanza tangu hospitali hiyo ianzishwe mwaka 1971.
Serikali kuviunganisha vyo 35 vya ualimu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema itaviunganisha vyuo vyote 35 vya ualimu nchini katika mkongo wa Taifa ili kuendana na mabadiliko ya Kiteknolojia.
Hanang' ‘wasusa’ vitambulisho 55,000 vya Taifa Wananchi 55,000 wa Wilaya ya Hanang' mkoani Manyara, hawajachukua vitambulisho vya Taifa ambavyo vipo ofisi za kata
KCBL yatakiwa kuwa na sura ya kitaifa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Andrew Massawe ameutaka uongozi wa Benki ya Ushirika ya Kilimanjaro (KCBL) kuharakisha mchakato wa benki hiyo kuwa benki yaUshirika ya kitaifa.
TRA Moshi kuwakamata wasiotoa, dai risiti za EFD Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa Kilimanjaro imesema kuanzia Februari Mosi, mwaka huu, itaanza kampeni maalumu ya" Kamata wote"kwa asiyetoa na asiyedai risiti za mashine za EFD.
Mstaafu wa Polisi ajinyonga bafuni Mstaafu wa Jeshi la polisi nchini,Omary Charema Msangi mkazi wa Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro amejiua kwa kujinyonga bafuni kwake kwa kutumia waya wa pasi kwa madai ya kuuzwa mali zake...
Profesa Mkenda aahidi jezi, mipira kwa timu 59 Rombo Mbunge wa Rombo na Waziri wa Elimu, Profesa Adolf Mkenda ameahidi kutoa jezi pamoja na mipira kila mwaka timu 59 za mpita wa miguu zitakavyofanya vizuri wilayani humo ili kuendeleza mchezo wa...
Serikali kurejesha mafuvu ya viongozi wa kimila kutoka nje Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Wizara ya Maliasili na Utalii wanaendelea na majadiliano ya urejeshwaji...
Ukame waua mifugo 1,257 Kilimanjaro Mifugo 1,257 imekufaa mkoani Kilimanjaro kutokana kukosa maji na malisho baada ya ukame kukumba eneo hilo.