Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1449 results for Janeth Joseph :

  1. DC aingilia kati kunyanyaswa kwa mjane

    Mgogoro ulianza baada ya mjane kugoma kurithiwa na shemeji yake baada ya mumewe kufariki mwaka 2016.

  2. Ukikamatwa bodaboda, gari yako inaishia huku

    Utata umeibuka kuhusu hatima ya pikipiki na magari yanayokamatwa na Jeshi la Polisi nchini kwa makosa mbalimbali, huku kukiwa na madai ya vyombo hivyo vya usafiri kupigwa minada kwa bei ndogo...

  3. 161 wadakwa Kilimanjaro kwa tuhuma mbalimbali

    Amesema chanzo cha tukio hilo ni mgogoro wa uongozi wa msikiti uliopo katika kata hiyo.

  4. Watoto wawili wa familia moja wafariki katika ajali ya moto

    Maiga amesema kwa sasa Kamati ya Ulinzi ya wilaya hiyo inaelekea kwenye eneo la tukio.

  5. Anayedaiwa kumuua mkewe kwa kunyimwa unyumba akamatwa

    Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Kennedy Malekea (21), mkazi wa kijiji cha Msinga wilayani Rombo kwatuhuma za kumuua mkewe Fausta Silayo (22) kwa kumchoma visu vya tumboni na...

  6. Waziri Mkenda amlilia Mramba

    Mbunge wa jimbo la Rombo ambaye pia ni Waziri wa kilimo nchini Tanzania, Profesa Adolf Mkenda amesema amepokea kwa masikitiko kifo cha aliyekuwa mbunge wa zamani wa jimbo hilo, Basil Mramba...

  7. Ahadi ya Serikali kwa wakulima wa ndizi

    Serikali ya Tanzania imeweka mikakati ya kukuza kilimo cha ndizi kuwa kilimo cha biashara ili kuongeza uzalishaji pamoja na kukuza soko la kimataifa ili kuongeza pato la Taifa.

  8. Mapadri wapya watakiwa kutokuwa na kigugumizi kutenda mema 

    Askofu wa Jimbo katoliki la Moshi, Askofu Ludovick Minde amewataka mapadri wapya kutokuwa na kigugumizi na wasiwasi wowote katika kutenda yaliyo haki na mema.

  9. Ewura: Gesi haitapanda bei

    Wakati Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) ikisema bei ya gesi za majumbani haitapanda, mawakala wa usambazaji na uagizaji wa gesi wamesema kuanzia kesho Alhamisi Agosti 12,...

  10. Baba akamatwa akitaka kumuozesha bintiye

    Mkazi wa kijiji cha Emuguri,kata ya Njoro Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro(jina lake linahifadhiwa) anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani hapa kwa madai ya kutaka kumuozesha binti yake wa miaka...

Previous

Page 126 of 145

Next