Anna Mghwira kuzikwa Jumatatu Arusha Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira anatarajiwa kuzikwa nyumbani kwake jijini Arusha Jumatatu Julai 26 mwaka huu.
VIDEO: KCMC yazidiwa wagonjwa wanaohitaji Oksijeni Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC imezidiwa na idadi ya wagonjwa wanaohitaji hewa ya Oksijeni ukilinganisha na mitungi 400 inayozalishwa kwa siku huku mgonjwa mmoja akitumia...
Wananchi Kilimanjaro wamlilia Mgwhira Ni huzuni isiyokuwa na kifani kutokea kwa kifo cha aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira hivyo ndivyo unavyoweza kusema.
Anna Mghwira afariki dunia Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amefariki dunia leo Alhamisi Julai 22, 2021 katika Hospitali ya Mount Meru mkoani Arusha alikokuwa akipatiwa matibabu.
Ajali yaua mtu mmoja Kilimanjaro Mtu mmoja amefariki dunia papo hapo na wengine watatu kujeruhiwa katika eneo la Kisangara Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro baada ya dereva wa Hiace kupoteza mwelekeo na kwenda kugonga lori la...
Tozo ya miamala yatesa mawakala Wakati wananchi wakilazimika kutafuta njia mpya isiyo na gharama kubwa kutuma na kutoa fedha, mawakala wa huduma za fedha kupitia simu za mkononi wamelalamika kukosa wateja, hivyo kuathirika...
Aweso amsimamsha kazi meneja Ruwasa Waziri wa Maji nchini Tanzania, Jumaa Aweso amemsimamisha kazi Meneja wa Wakala wa Usambazaji wa Maji vijijini (Ruwasa), Mhandisi Nevard Kihaka kwa kumdanganya na kumpa taarifa za uongo juu ya...
Hali tete kwa wananchi kupambana na janga la corona Utekelezaji wa mwongozo wa pili wa udhibiti wa maambukizi ya Covid-19 katika taasisi za elimu nchini umeanza kwa kusuasua baada ya shule nyingi kutotekeleza maagizo huku hali ikiwa tete zaidi...
Aweso ahoji gharama kuunganishiwa maji nchi nzima Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemuagiza katibu mkuu wa wizara hiyo, Anthony Sanga kuwasiliana na wakurugenzi wote wa mamlaka za maji nchini ili kujua gharama halisi ya kumuunganishia mwananchi...
Watumishi afya matatani kwa tuhuma za wizi wa Sh520 milioni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai ameagiza vyombo vya usalama mkoani humo kuwachukulia hatua kali watumishi sita wa afya wanaodaiwa kuhusika na wizi wa fedha Sh520 milioni za mfuko wa...