Bavicha yawasilisha ombi kwa Ndugai kuhusu kina Mdee
Baraza la Vijana Chadema (Bavicha) limemtaka Spika wa Bunge, Job Ndugai kueleza umma agizo lake la kumtaka katibu mkuu wa chama hicho, John Mnyika kuwasilisha tena taarifa za kufukuzwa uanachama...