Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1449 results for Janeth Joseph :

  1. RC Mghwira aagiza mkuu wa kituo cha polisi kuchukuliwa hatua

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira ameagiza mkuu wa kituo cha polisi Holili Wilaya ya Rombo pamoja na askari wawili kuchukuliwa hatua kwa madai ya kuzembea na kuruhusu pikipiki kutoka...

  2. RC Mghwira awaita wadau kununua mahindi yaliyozuiwa Kenya

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amewataka wadau mbalimbali kujitokea kununua mahindi yaliyozuiwa kuingia nchini Kenya yakidaiwa kuwa na sumu kuvu jambo ambalo si kweli.

  3. Wananchi waeleza wanavyotumia bodaboda kupeleka mahindi Kenya

    licha ya nchi ya kenya kupiga marufuku mahindi ya tanzania kuingia nchini humo kwa madai ya kuwa na sumu kuvu, baadhi ya wananchi wanatumia bodaboda kuvusha mahindi hayo kwa kutumia njia za panya.

  4. Meya Moshi awakabidhi wazabuni wanane kwa Takukuru

    Viongozi wa Vicoba nao wamejikuta wakiangukia mikononi mwa Taasisi ya kupambana na rushwa kwa kushindwa kurejesha fedha walizokopa.

  5. Ifahamu familia ya watoto saba wa Magufuli, wanne wakianza na herufi J

    Kwa muda mrefu familia ya aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli haikuwa ikiweka wazi idadi ya watoto na wajukuu alionao marehemu, lakini Jumatatu katika mazishi ya kitaifa yaliyofanyika...

  6. Machifu wamlilia hayati Magufuli

    Umoja wa Machifu Tanzani (UMT) umesema utamkumbuka akiyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dk John Magufuli, kwa uzalendo, uthubutu na maamuzi yake.

  7. Kauli ya Lowassa akimlilia Magufuli

    Moyo wangu umeugua baada ya kupata taarifa za kifo cha mpendwa wetu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli kilichotokea Jumatano ya wiki hii, Machi 17

  8. Maaskofu wataka Watanzania kuwa wamoja, washtushwa kifo cha Rais Magufuli

    Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dk Fredrick Shoo ameeleza kupokea kwa mshtuko kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli na kuwataka Watanzania...

  9. Mwanamke akutwa amejinyonga Kilimanjaro

    Maria Sigarai (26) mkazi wa kijiji cha Kwalakamu wilayani Rombo amekutwa amejinyonga huku mwili wake ukining’inia kwenye mti.

  10. Serikali kujenga kiwanda cha korosho Kilimanjaro

    Serikali imesema inafikiria kuwa na kiwanda kikubwa cha mfano cha ubanguaji wa korosho katika mkoa wa Kilimanjaro kutokana na zao hilo kuwa na mwitikio mkubwa kwa wananchi.

Previous

Page 133 of 145

Next