Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1449 results for Janeth Joseph :

  1. Wizara yafanya maboresho ya sheria kuinua mfuko wa Misitu

    Wizara ya Maliasili na Utalii imefanya maboresho ya sheria ya misitu nchini ili kuwezesha mfuko wa Misitu katika kutekeleza shughuli za utafiti kwa wafugaji wa nyuki baada ya kuona sekta hiyo...

  2. TRA yamdaka anayetuhumiwa kusambaza stempu feki

    Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania(TRA) Mkoa wa Kilimanjaro, imemkamata Mfanyabiashara maarufu Mjini Moshi aliyetambulika kwa jina moja la Mr Kimario kwa kujihusisha na mtandao wa kutengeneza na...

  3. Raia wa Kenya wahukumiwa nchini Tanzania

    Mahakama ya wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro imewahukumu raia 26 wa Kenya kulipa faini ya Sh500,000 au kwenda jela mwaka mmoja baada ya kuwakuta na hatia ya kuingia Tanzania bila kuwa na...

  4. Nzige walioingia Tanzania waangamizwa

    Serikali imesema nzige wa jangwani walioingia nchini Tanzania Februari 19 mwaka huu wakitokea nchi jirani ya Kenya wameangamizwa wote.

    New Content Item (1)
  5. Mtuhumiwa dawa za kulevya alivyonaswa na Polisi

    Hivi karibuni Jeshi la Polisi wilayani Temeke lilikamata magunia 24 ya dawa za kulevya aina ya bangi nyumbani kwa mtuhumiwa.

  6. Polisi wazungumzia msako anayedaiwa kumuua mama na mwanaye

    Polisi mkoani Kilimanjaro wanaendelea kumsaka mtuhumiwa wa mauaji ya Irene Lyimo na mwanaye wa miaka miwili ambao miili yao ilikutwa katika nyumba ya kulala wageni kata ya Marangu Magharibi...

  7. Majaliwa ataka mshikamano shughuli ya kuwateketeza nzige

    Waziri mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kushikamana katika kipindi hiki ambacho baadhi ya maeneo shughuli ya kuwateketeza nzige inaendelea, akiwataka wananchi kushirikiana...

  8. Majaliwa atua Monduli kushuhudia shughuli ya kuteketeza nzige

    Waziri mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewasili katika eneo la Engaruka Wilaya ya Monduli mkoani Arusha lililovamiwa nzige wa jangwani walioingia nchini wakitokea nchi jirani ya Kenya.

  9. Helkopta yatumika kuua nzige

    Waziri wa Kilimo nchini Tanzania, Profesa Adolf Mkenda na naibu wake, Hussein Bashe wameweka kambi usiku wa kuamkia leo Jumatano Machi 3, 2021 eneo la Engaruka wilayani Monduli Mkoa wa Arusha...

  10. Siri ya mama na mwanaye waliofia gesti Moshi

    Lyimo (21) na mwanaye Caren, mwenye umri wa miaka miwili wamekutwa wamekufa katika moja ya nyumba za kulala wageni Wilayani Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro.

Previous

Page 134 of 145

Next