Chanzo moto uliounguza mabweni Moshi kuanza kuchunguzwa Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Rajabu Kundya amesema wanachunguza chanzo cha moto ulioteketeza Mabweni manne ya Shule ya wasichana Sangiti iliyopo Kata ya Kirima Kibosho mkoani Kilimanjaro Tanzania.
RC Mghwira aeleza wadudu waliovamia kijiji walivyodhibitiwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amesema wadudu wanaodaiwa kuwa ni nzige walioonekana katika kijiji cha Karamandei kata ya Toloha wilayani Mwanga walidhibitiwa.
VIDEO:RC Mghwira atoa ufafanuzi taarifa za misiba Kilimanjaro Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amesema misiba mingi iliyopo mkoani humo inatoka maeneo mengine na si kweli kuwa watu wanafariki dunia kutokana na ugonjwa wa Covid 19 unaosababishwa na...
Aliyeuawa kwa kukatwa panga azikwa kwa wazazi wake Moshi Magreth Mushi (50) anayedaiwa kuuawa na kaka yake, Neoni Lazaro wakati wakigombania mauzo ya nyanya ya Sh40,000 amezikwa katika kijiji cha Singa Kibosho,Wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro...
Polisi wamkamata anayedaiwa kumuua dada yake kwa panga Jeshi la polisi Mkoani Kilimanjaro linamshikilia Neoni Lazaro(39) mkazi wa Singa Kibosho, wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kumuua dada yake , Magreth Mushi (50)kwa kumkata kata na panga kichwani...
Serikali yakanusha hospitali kujaa wagonjwa wenye shida ya mfumo wa hewa Katibu Mkuu Wizara ya Afya nchini Tanzania, Profesa Mabula Mchembe amesema hospitali hazijajaa wagonjwa wenye shida ya mfumo wa hewa kama inavyoelezwa, akibainisha wengi wapo katika wodi za...
Adaiwa kumuua dada yake, kisa fedha za nyanya Mkazi wa kijiji cha Urauri ,kata ya Reha wilayani Rombo, Magreth Mushi ameuawa na kaka yake,Neoni Lazaro kwa madai ya kugombania fedha alizouza nyanya.
Serikali yakumbusha usimamizi wa miradi ya maendeleo Serikali imesema itawachukulia hatua viongozi watakaohujumu na kukwamisha usimamizi wa miradi ya maendeleo katika halmashauri zote nchini.
Wadau wa haki za binadamu walaani ukatili mwanamke aliyeharibiwa mimba Wadau wa haki za binadamu nchini wamelaani tukio la kikatili lililofanywa na Mwenyekiti wa kijiji cha Samanga wilaya ya Moshi, Wilfredy Minja kwa kumrukisha kichura zaidi ya saa mbili, Asha...
Wadau wa haki za binadamu walaani ukatili mwanamke aliyeharibiwa mimba Wadau wa haki za binadamu nchini wamelaani tukio la kumrukisha kichura zaidi ya saa mbili, Asha Rajabu (28) lililofanywa na Mwenyekiti wa kijiji cha Samanga wilaya ya Moshi,Wilfredy Minja na...