Wanafunzi wenye ulemavu wakumbukwa vifaa vya shule Vifaa hivyo ni viti mwendo na baiskeli za mataili matatu tano, jozi za viatu 38 na sale za shule 40 vilivyotolewa na shirika lisilo la kiserikali la TEKLA linalohudumia watu wenye ulemavu.
Moto wateketeza bweni la shule Bukoba Mali na vifaa vyote vilivyokuwa ndani ya bweni hilo lililokuwa na uwezo wa kuhudumia wanafunzi 70 imeteketea.
Waziri Ummy: Ugonjwa wa Marburg umedhitiwa, Tanzania ni salama Virusi vya Marburg, ambavyo kwa asilimia kubwa ni sawa na virusi hatari vya ebola, viligunduliwa kwa mara ya kwanza baada ya watu 31 kuambukizwa na saba kati yao kufariki mnamo 1967 huko Marburg...
Wajasiriamali wawasilisha kero zao kwa RC Mwassa Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu wa Shirikisho la Umoja wa Machinga Mkoa wa Kagera (Shiuma, Husna Mohamed, mkoa huo unakadiriwa kuwa na wajasiriamali zaidi ya 100, 000 wanaofanya shughuli za...
RC Mwassa awatangazia kiama watumishi wabadhirifu Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa ametangaza kyama cha watendaji na watumishi wa umma mkoani humo watakaobainika kujihusisha na makosa ya uzembe, uongo, uvivu, ucheleweshaji wa miradi ya...
Maduka Soko Kuu Bukoba yanusurika kuteketea moto Moto huo uliozuka katika duka la mfanyabiashara Ibrahim Karwani anayeuza bidhaa za magodoro na mabegi Saa 3:30 usiku wa Mei 21, 2023 ulidhibitiwa askari wa Kikosi cha Jeshi la Zimamoto na Ukoaji...
Uhamisho wa Chalamila, Makalla gumzo Panga pangua ya wakuu wa mikoa iliyofanyika juzi imezua mjadala, huku gumzo zaidi likimhusu Albert Chalamila, aliyehamishiwa Dar es Salaam kutoka Kagera, ambaye wadau wamemtaka awe msikilizaji na...
Siku 267 za Malima na Chalamila Kanda ya Ziwa Uteuzi wa wote wawili pamoja na wenzao kadhaa ulifanyika Julai 28, 2022 kwa Malima kuhamishiwa Mwanza akitokea Mkoa wa Tanga kwa wadhifa huo huo wakati Chalamila akienda Mkoa wa Kagera akitokea...
RC Kagera aomba mkoa kuwa Kanda Maalumu ya Polisi Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amemuomba Kamishna wa Polisi wa Oparasheni na Mafunzo nchini, Awadh Juma kufikisha ombi la Kagera kuwa kanda maalumu kutokana na mauaji yanayotokea kila...
Suluhu ya Amcos kuuza kahawa kimagendo yapatikana Amcos 14 zilizopo mpakani mkoani Kagera zinapaswa kuuza kahawa tani 3, 000 hadi 4, 000 kwa msimu lakini zimekuwa zikiuza tani 1, 000 jambo linaloonyesha kahawa nyingine inauzwa kwa magendo.