Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

79 results for Angetile Osiah :

  1. Miaka 20 panyarodi bado ni walewale

    Ni jioni yapata saa 1:00 jioni, wakazi wa Tabata wanakimbia huku na huko kwa hofu ya kushambuliwa na kuporwa na vijana wadogo wanaosemekana wana visu na mapanga.

  2. Yanga yalipa CAF Kisinda acheze

    na kumuingiza mwingine na tulifanya hilo kwa kuzingatia muda wa usajili.” KAULI YA TFF Taarifa iliyotolewa na TFF jana, japokuwa haikutaja timu yoyote, iliandikwa hivi: “kwa mujibu wa kanuni 62...

  3. SIO ZENGWE: Somalia, Comoro wametufikia, kuna nini?

    JUMAMOSI Timu ya Taifa ya wachezaji wanaoshiriki ligi za ndani ilifanikiwa kuvuka hatua ya kwanza ya michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) kwa kuiondoa Somalia kwa jumla ya mabao...

  4. Huu ndio uchaguzi uliobeba taswira mbaya tangu Uhuru

    Uchaguzi Mkuu wa 2020 ndio unatajwa kuwa mbaya kuliko chaguzi zote tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi kutokana na idadi kubwa ya wapinzani kuondolewa, kunyimwa fomu na matokeo kutangazwa...

  5. Nyerere alivyoiandaa CCM kwa vyama vingi-2

    Katika toleo lililopita tulianza kuangalia namna Baba wa Taifa, Julius Nyerere alivyokuwa na pande mbili katika suala la demokrasia, upande mmoja alionekana ni mkandamizaji na upande mwingine...

  6. Nyerere alivyoiandaa CCM kwa vyama vingi

    Julius Kambarage Nyerere anaweza kuzungumziwa na baadhi ya wanasiasa na watu wengine kama kiongozi aliyekandamiza demokrasia kutokana na uamuzi wa Serikali yake wa mwaka 1965 wa kufuta mfumo wa...

  7. Dhambi inatoka wapi kutamani cheo cha IGP?

    Wale watoto wa Yakobo walichukizwa na kitendo cha mdogo wao Yusuf kuota ndoto zilizoonyesha kuwa siku moja watamuinamia kumsujudu. Kosa la Yusuf lilikuwa ni kuwashirikisha ndugu zake kuhusu maono...

  8. Ghana v Nigeria: Mpambano unaogonga vichwa Kombe la Dunia Afrika

    Kama kuna mechi inazungumziwa sana kuliko nyingine nne za hatua ya mwisho ya kupata wawakilishi wa Afrika katika fainali za Kombe la Dunia, basi ni Ghana dhidi ya Nigeria, wababe wawili wa Afrika...

  9. Kushambulia kwa papara kunaigharimu Simba

    Kama ungekuwa unaangalia mechi ya jana kwa kuvutiwa na kupeleka mipira mbele, ungeweza kusema Simba ilicheza kwa kiwango cha juu dhidi ya wenyeji Asec Mimosas katika mechi ya mzunguko wa pili...

  10. Hatihati timu za England, Hispania kukutana nusu au fainali Ulaya

    Baada ya klabu za nchi moja kukwepa kukutana katika robo fainali ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya-- England na Hispania-- ratiba iliyopangwa leo (Ijumaa) itazikutanisha timu nne kutoka nchi hizo mbili.

Previous

Page 3 of 8

Next