Search

647 results for Aurea Simtowe :

  1. Uwekezaji wapaa, nchi tatu zikiongoza

    Kwa mujibu wa ripoti hiyo, asilimia 51.92 ya uwekezaji wote uliofanywa Januari 2024 ulikuwa wa moja kwa moja kutoka nje.

  2. PRIME Kariakoo kwa moto, wafanyabiashara waibua mazito

    Kariakoo ni kawaida kukuta raia wa kigeni wakiwa katika maduka na shughuli za uuzaji bidhaa mbalimbali, wakati mwingine wakisaidiwa na wazawa.

  3. LHRC yataka midahalo ya wagombea, diaspora na wafungwa kupiga kura

    Dar es Salaam. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimetaka kufanyika kwa marekebisho ya Sheria ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, 2024 ili kuweka takwa la ulazima wa kufanya...

  4. Sababu matukio ya ukatili kuongezeka Zanzibar

    Malezi duni ya watoto yanayofanywa na wazazi, kukosa elimu ya kujitambua na umasikini vinatajwa na wadau kuwa sababu ya kuongezeka kwa matukio ya ukatili wa kijinsia na udhalilishaji, visiwani...

  5. Profesa Kitila awataka mawaziri, naibu mawaziri kuzipa nafasi taasisi za umma

    Imeelezwa kuwa, ili kuzipa nafasi taasisi ni vyema mabadiliko ya kimtazamo yakafanyika hasa kwa watu wa Serikali ili kuzifanya kampuni hizo zijitazame na kuendana na misingi ya kampuni za...

  6. Sakata la mchele wa Marekani lamuibua Waziri Bashe

    Ni mchele unaodaiwa kuwa umeongezwa virutubisho, ambao ujio wake nchini umezua mjadala mitandaoni.

  7. PRIME Sababu shule binafsi kutoza ada kubwa

    Wametaka kodi zinazotozwa katika shule kuangaliwa upya ili kuweka ahueni kwa wawekezaji.

  8. Mchengerwa afafanua matukio ya ubadhirifu yanayosambaa mtandaoni

    Mchengerwa amesema watuhumia wengi wao wako mahakamani na kesi zao zinaendelea

  9. Samia akerwa wakuu wa mikoa kutosikiliza wananchi

    Samia amesema, Rais wa nchi amekuwa mtu asiyelala, huku akitolea mfano kuwa mvua inaponyesha mara zote hujiuliza wapi kumezama

  10. Sababu panga pangua na maagizo ya Rais kwa wakuu wa mikoa

    Rais Samia amesema wakati mwingine mtu hafanyi vizuri kwa kuwa ndivyo alivyo na wakati mwingine ni mazingira yaliyopo katika eneo husika

Previous

Page 3 of 65

Next