Waziri Mkenda asema ufaulu somo la hisabati ni janga linalotakiwa kutafutiwa ufumbuzi
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema ufaulu wa somo la hisabati ni janga ambalo halitakiwi kufumbiwa macho badala yake kutafutiwa ufumbuzi.