Search

46 results for Julius Mnganga :

  1. Bunge laonya kurudi kwa watumishi hewa

    Kati ya mambo yaliyoyofanywa na Serikali ya awamu ya tano katika sekta ya utumishi wa umma ni kuwaondoa wafanyakazi hewa, kuwafuta kazi watumishi waliokuwa na vyeti feki pamoja na darasa la saba...

  2. Kuhusu EPA bado Tanzania itajadili kuuridhia na kuutekeleza mkataba

    Wakati mjadala kuhusu Mkataba wa Ushirikiano wa Kiuchumi (EPA) kati ya Umoja wa Ulaya (EU) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ukiendelea, Serikali imesema inafanyia kazi changamoto...

  3. Sababu za makinikia kutosafirishwa nje ya Tanzania

    Katika jitihada za kuhakikisha Watanzania wananufaika zaidi na rasilimali zilizopo nchini hasa madini, Serikali iliunda kamati mbili kuchunguza biashara hiyo na zikatoa ripoti Mei na Juni 2017...

  4. Bunge libainishe mapato ya mbunge na kodi anazolipa

    Bunge ni mhimili muhimu wa Serikali, ambalo hukutanisha wawakilishi wa wananchi kutoka Tanzania nzima. Ni sehemu pekee ambayo wajumbe wake wanawakilisha maoni ya Watanzania zaidi ya milioni 60.

  5. Ushuru katika korosho wakwamisha pembejeo

    Wakati Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitarajiwa kukutana na wadau kujadili maendeleo ya korosho, Wizara ya Kilimo imesema imebuni mfumo mbadala wa kupeleka pembejeo kwa wakulima.

  6. Kampuni za simu zaiangukia Serikali

    Siku tano tangu Sheria ya Kodi ya Miamala ya Simu ianze kutumika, Chama cha watoa huduma za fedha kwa simu za mkononi (Tamnoa), kimesema biashara imeshuka kwa kiasi kikubwa na kuiomba Serikali...

  7. Tozo ya miamala yatesa mawakala

    Wakati wananchi wakilazimika kutafuta njia mpya isiyo na gharama kubwa kutuma na kutoa fedha, mawakala wa huduma za fedha kupitia simu za mkononi wamelalamika kukosa wateja, hivyo kuathirika...

  8. Maumivu ya tozo miamala ya simu

    Kwa nyakati tofauti, baadhi ya wananchi walisema tozo mpya ni mzigo mwingine kwa wenye kipato cha chini, hasa vijijini ambako simu za mkononi ni mkombozi wa huduma za fedha kutokana na kutokuwepo...

  9. Makato kodi ya miamala haya hapa, kuanza leo

    Ni kodi ya uzalendo inayokusudia kufanikisha ujenzi wa barabara vijijini na uboreshaji wa huduma nyingine za jamii.

  10. Safari ya Yanga huru kiuchumi

    Kutoka kutegemea ‘kutembeza bakuli’ kwa mashabiki wake miaka miwili iliyopita, Klabu ya Yanga imejiwekea mkakati wa kuwa na mapato ya uhakika yatakayoiongezea ushindani na kukaribisha uwekezaji...

Previous

Page 3 of 5

Next