Search

520 results for Kelvin Matandiko :

  1. Mtandao hatari wa dawa za kulevya baharini

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) imetaja mtandao wa uingizaji wa dawa za kulevya nchini unaoendelea kwa njia ya Bahari ya Hindi, huku ikieleza ilivyojipanga...

  2. Rais Samia atengua uteuzi kamishna wa petroli na gesi Tanzania

    Kwa mujibu wa Sheria ya Petroli ya Mwaka 2015, majukumu ya kamishna ni kumshauri waziri mwenye dhamana ya petroli kuhusu masuala ya kisera, mipango na miongozo

  3. Njia panda matumaini nyongeza ya pensheni

    Hata hivyo matumaini ya nyongeza ya pensheni hiyo yatategemea taarifa ya ripoti ya tathmini ya uhimilivu na uendelevu ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), itakayokabidhiwa...

    New Content Item (1)
  4. Rais Mwinyi awataka wahitimu wachochee maendeleo

    Rais wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi amesema wahitimu 2,102 wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wana jukumu kubwa la kuchagiza maendeleo ya Zanzibar kwa kutumia maarifa waliyoyapata...

  5. PRIME Serikali yajipanga kuilipa Indiana mabilioni ikishindwa kesi

    Serikali ya Tanzania imeridhia kwa maandishi katika Baraza la Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Migogoro ya Uwekezaji (ICSID) kulipa fidia ya Dola milioni 109 za Marekani (Sh260 bilioni)...

  6. Dola ilivyotikisa shughuli nyingi za kiuchumi nchini

    Siku chache zimebakia kabla ya kufunga kalenda ya mwaka 2023 unaoacha kumbukumbu ya maumivu makali katika mfumo wa maisha ya watanzania kupitia ongezeko la thamani ya Dola ya Marekani dhidi ya...

  7. Maeneo manne kudhibiti uchumi

    Mhariri wa takwimu wa Mwananchi Communications Ltd, Halili Letea ametoa angalizo katika maeneo manne yanayoweza kuathiri mwenendo wa ukuaji wa uchumi, ambayo ni urari wa biashara, thamani ya...

  8. ‘Serikali ina kibarua kujibu maswali magumu mwaka 2023’

    Mwandishi mkuu wa gazeti la Mwananchi, Elias Msuya amesema Serikali ina kazi kubwa ya kujibu maswali ya wananchi kuhusu hali ya siasa, hali ngumu ya uchumi na upatikanaji wa huduma za jamii.

  9. Wakristo watakiwa kujenga utamaduni wa uvumilivu

    Mbali na hilo, Wakristo pia wametakiwa kuwa na upendo na kujifunza kwa Wakristo wa mataifa mengine kuwa wavumilivu.

  10. Uchaguzi Chipukizi wakosolewa

    Waandishi Wetu

Previous

Page 3 of 52

Next