LHRC: Mabadiliko ya tabianchi mwiba haki za binadamu
Afya, chakula, elimu, maji safi na salama, mazingira, faragha na familia zimetajwa kama haki zinazoathiriwa zaidi na mabadiliko ya tabianchi, huku kundi la wanawake na watoto likitajwa kuathirika...