Meya manispaa ya Moshi awataka waliovaa barakoa kuzivua
Juma Raibu Juma, meya wa manispaa ya Moshi amewataka wajumbe wa baraza la madiwani la manispaa hiyo kuvua barakoa kwa maelezo kuwa mji wa Moshi upo salama, agizo alilolitoa baada ya kuwasimamisha...