Search

609 results for Nasra Abdallah :

  1. Lulu: Namtamani Jay Dee lakini..

    Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Lulu Abbas’Lulu Diva’, amesema anatamani kufanya kazi na dada Komando, Lady Jay Dee, lakini anafikiria aanzie wapi.

  2. Idadi ya waliong'atwa na mbwa Mwananyamala yaongezeka

    Idadi ya watu waliojeruhiwa na mbwa aliyekuwa akipita mtaani na kung'ata watu imefikia 28 kutoka 26 iliyokuwa awali.

  3. Mbwa awashambulia watu 26 Mwananyamala

    Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano serikalini Manispaa ya Kinondoni, Aquilinus Shiduki amesema mbwa huyo na wengine wawili tayari wameushauliwa katika msako

  4. Wanawake watetezi wa haki za binadamu wataka sera inayowalinda

    Katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, wanawake watetezi wa haki za binadamu nchini wameshauri kuwepo kwa sera itakayowalinda wanawake watetezi ili wafanye kazi hiyo katika hali ya usalama.

  5. Wanawake 400 kuhamasisha utalii wa ndani Hifadhi ya Nyerere

    Imeelezwa kuwa, kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Nyerere ni sehemu ya kuutangaza utalii wa mikoa ya kusini

  6. Utiririshaji majitaka nyumba za wageni wawaponza viongozi Mtaa wa Midizini

    Katika kampeni hiyo, Serikali ya Mtaa wa Manzese iliibuka mshindi na kupata zawadi ya Sh600,000 huku Mtaa wa Madizini ukiambulia bendera hiyo ya balozi wa uchafu ambayo viongozi wa mtaa huo...

    New Content Item (1)
  7.  Mamia wajitokeza kumuaga Dk Kamala

    Maziko yanatarajiwa kufanyika Jumanne wiki ijayo kijiji kwao Bwanjai wilayani Nkenge mkoani Kagera.

    New Content Item (1)
  8. Si sukari tu, hata viazi, vitunguu havishikiki

    Kama ulidhani kupaa kwa bei ya bidhaa kumeishia kwenye sukari pekee mambo ni tofauti, hali hiyo imebainika hata katika viazi mbatata, vitunguu na pilipili hoho.

  9. Ndugu ataja sababu kifo cha Dk Kamala

    Kaka wa marehemu, Dk Francis Rwiza amesema ndugu yake huyo aliugua ghafla tumbo na kukimbizwa hospitali kabla ya kufikwa na mauti.

  10. Dar wataka magari ya taka yawe kama ambulance

    Andrew amesema moja ya changamoto wanazokutana katika uzoaji taka, ni pamoja na kusimamishwa mara kwa mara na askari wa usalama barabarani.

Previous

Page 3 of 61

Next