Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

179 results for Suzy Butondo :

  1. Mgodi wa Mwadui waanza uzalishaji ukitangaza hasara ya Sh149 bilioni

    Kuanza kwa uzalishaji mgodini kumefanyika baada ya marekebisho na ujenzi wa bwawa la takatope na malipo ya fidia kwa wananchi kutoka viji vya Ng’wanholo na Nyenze vilivyoko Kata ya Mwadui Lohumbo...

  2. Mwarobaini wa ‘kuwatuliza’ madaktari bingwa vituo vya kazi wapatikana

    Serikali imesema imetafuta njia mbadala ya kuwafanya madaktari bingwa kubaki kwenye hospitali za Umma badala ya kukimbilia hospitali binafsi kwa kuwaruhusu kuwa na kliniki zao binafsi.

  3. Waziri Ummy awatangazia kiama wanaovujisha siri za wagonjwa

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amewataka watendaji na watoa huduma sekta ya afya kuzingatia miiko na maadili ya taaluma yao ikiwemo inayotakaza kutoa siri na taarifa za wagonjwa.

  4. UWT yawaonya wanaochonganisha wabunge na wana CCM

    Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Mkoa wa Shinyanga imewaonya baadhi ya wanachama wa chama hicho wenye tabia ya kujipendekeza na kuchonganisha wenzao kwa wabunge wa mkoani humo.

  5. ‘Babu’ adaiwa kumrubuni mwanafunzi kwa Sh7,000, ampa ujauzito

    Mzee Amos Samson (65), mkazi wa Kijiji cha Mwamala Wilaya ya Shinyanga, anatuhumiwa kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha kwanza mwenye umri wa miaka 16 (jina linahifadhiwa) baada ya kumrubuni...

  6. Mradi wa Sh24 bilioni wanusuru ndoa kuvunjika

    Kukamilika kwa mradi huo pia kunatajwa kuokoa ndoa na mimba za utotoni kwa watoto wakike waliokuwa wakiamka saa 11:00 alfajiri kufuata maji umbali wa kilomita nne.

  7. Waandishi wa habari Shinyanga wanolewa kuhusu kazi za CAG

    Wana habari hao pia watanolewa katika mbinu za kutambua aina za ripoti za ukaguzi, Sheria, kanuni na taratibu zinazosimamia uendeshaji wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi.

  8. PRIME Jeshi la Polisi ladai mwanafunzi alitolewa mahari ng’ombe 15

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi amedai kuwa mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne mwaka jana ambaye wazazi wake waliamua kumuoza alilipiwa mahari ya ng’ombe 15.

  9. Barrick Bulyanhulu yatoa fursa kwa wakandarasi wazawa

    Zahati 18 zimejengwa na kampuni za wazawa katika halmashauri ya Msalala mkoani Shinyanga ikiwa ni kutambua na kusapoti wakandarasi wazawa.

  10. Sekondari mpya kupunguza mimba, utoro

    Changamoto ya wanafunzi kutembea umbali wa zaidi ya kilomita nane hadi 10 kwenda Shule ya Sekondari Bulyanhulu imepatiwa ufumbuzi baada ya kujengwa shule mpya katika kijiji cha Busulwangili.

Previous

Page 3 of 18

Next