Sh950 milioni kufungua Saccos 20 za wakulima Kuanzishwa kwa saccos hizo kunalenga kuwawezesha wakulima wa kahawa kupata fursa ya mikopo nafuu ili kuondokana siyo tu na mikopo umiza, bali pia tabia ya kuuza kahawa ambayo bado iko shambani...
Wakulima waonywa kuuza kahawa kimagendo Wakulima wa zao la kahawa mkoani Kagera wametakiwa kuacha tabia ya kuuza zao hilo kwa njia ya magendo kwa baadhi ya wafanyabiashara wasio waaminifu kwakuwa wana kiuka taratibu za nchi ikiwemo...
Tembo Nickel yakabidhi miradi ya Sh208 milioni Ngara Miradi hiyo ya elimu na afya ambayo ni sehemu ya uwabikaji kwa jamii imekabidhiwa imekabidhiwa na Kampuni ya Tembo Nickel baada ya kukamilika kwa asilimia 100.
Wananchi wanufaika miradi ya elimu, afya mgodini Meneja wa Kampuni ya Tembo Nickel inayohusika na uchimbaji madini ya Nickel Wilaya ya Ngara mkoani Kagera ameahidi kusaini mkataba ili kutekeleza miradi ya kijamii kwa mwaka 2023 huku akikabidhi...
KCU yaongeza Sh715 milioni mauzo ya kahawa Kagera Chama kikuu cha Ushirika mkoani Kagera KCU 1990 Ltd kimetoa Sh715 milioni kwa wakulima wa kahawa hai (organic) katika vyama vya msingi vya ushirika vipatavyo 34 kwa msimu 2022/2023.
Serikali yatuma madaktari bingwa Kagera, karantini wafikia 205 Amesema wahudumu wa afya ngazi ya jamii wapatao 1322 wamepata ajira ya muda wa miezi mitatu mkoani Kagera kwa ajili ya kusaidia Kutoa elimu ngazi ya jamii katika kumsaidia mapambano dhidi ya...
Shujaa Majaliwa kumaliza mafunzo, mama anena Alodia Bernado, mama mzazi wa Majaliwa Jackson ameishukuru Serikali kwa kumpa ajira ya kudumu mwanaye na kuendelea kumwombea amalize salama mafunzo yake.
Wananchi waomba vifaa vya kunawa mikono sokoni, stendi kuu Bukoba Wafanyabiashara na wananchi wanaofika kupata huduma katika Soko Kuu na Stendi Kuu Manispaa ya Bukoba wameomba Serikali kurejesha miundombonu ya maji na vifaa vya kunawa mikono katika maeneo hayo...
Watu 193 wawekwa karantini Kagera Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Tumaini Nagu amesema wagonjwa watatu wa Marburg wanaendelea na matibabu na hali zao zinaendelea kuimarika na hakuna maambukizi ya watu wengine huku akisema kuwa watu...
Bwana harusi alivyofariki kwa ugonjwa wa ajabu Bwana harusi huyo mtarajiwa, Benson Rutabingwa alifikwa na mauti Machi 15 baada ya kuugua ugonjwa huo unaosemekana aliupata kwa ndugu zake watatu ambao ni miongoni mwa watano walioripotiwa...