SIO ZENGWE: Kulalamika serikalini ni kusababisha taharuki? WAKATI Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka (TFF) ilipomtia hatiani makamu mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela kwa kosa la uchochezi, nilihoji jinsi chombo hicho kilivyoweza kufikia...
SIO ZENGWE: Tumekimbilia kuishinda Simba kwa kura ishu ya GSM Real Madrid, Barcelona na Athletic Bilbao zimekataa kuidhinisha mpango uliopendekezwa na Ligi Kuu ya Hispania (La Liga) wa kuuza asilimia 11 ya mapato yao kwa kampuni ya uwekezaji ya Marekani...
SIO ZENGWE: Sakata la Manara linafikirisha mageuzi yetu NI bahati mbaya sana kwamba macho ya wengi wiki iliyopita yalielekezwa katika kuangalia kama Kilele cha “Wiki ya Wananchi” kitafunika au la, hasa wakiangalia ushiriki wa Haji Manara, ambaye...
Lukaku, Antonio Pogba waongoza kwa ubora Ligi Kuu Mshambuliaji mpya wa Chelsea, Romelu Lukaku, ambaye aliongoza kazi ya kuizamisha Arsenal Jumapili iliyopita, anaongoza kw aubora miongoni mwa wanasoka wanaoshiriki Ligi Kuu ya England, ambayo...
Sakata la Haji Manara halikustahili kutikisa Mmoja wa watu walioshiriki kuiwezesha Manchester United mafanikio enzi za Alex Ferguson ni Peter Kenyon, ambaye mwaka 1997 aliteuliwa kuwa naibu ofisa mtendaji mkuu wa klabu hiyo na baadaye mwaka...
SIO ZENGWE: Haji Manara ameipa somo Simba? TANGU Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lilipoagiza klabu za Ligi Kuu kuwa na sekretarieti, ambayo ingehusisha waajiriwa, ikiwemo nafasi muhimu ya ofisa habari, kumekuwepo na dhana potofu kuhusu...
Diamond sasa amegota au… Kutoka tuzo za muziki za Kilimanjaro za mwaka 2010 hadi za Afrima za mwaka 2019, Diamond Platnamuz anaweza kuwa ndio mwanamuziki pekee wa Tanzania kutajwa na kushinda tuzo nyingi ndani na nje ya...
SIO ZENGWE: Mbinu mpya za uchaguzi CAF zinavutia Uchaguzi wowote wa kupata viongozi wa michezo, hasa mpira wa miguu hutawaliwa na mbinu chafu za kila aina, kudhalilishana, habari za kupotosha, kubambikiana kashfa na huishia kwa wapiga kura kuwa...
Mwanaspoti tumetimiza miaka 20 kuripoti fainali za Kombe la Dunia mwaka 2010 kwa siku zote 30. Kipindi fulani kulitokea malalamiko ya wasomaji kwamba tunaandika habari nzuri, ila wakataka tuimarishe na habari za uchambuzi.
Taifa Stars ilipigana vita bila ya silaha Kuna wakati tulikuwa tukiamini kuwa Tanzania haiwezi kuingia katika vita na China kwa sababu ikitaka kufanya hivyo, taifa hilo la Asia litaamuru wananchi wake waje Afrika Masharina kusimama...