Mkakati kuwawezesha wanawake, wasichana kidigitali waja
Serikali kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imesema itahakikisha inaweka mipango thabiti ambayo itawasaidia wanawake, wasichana kujikwamua kiuchumi kwa kutumia fursa...