Marehemu kuzikwa upya baada ya utambuzi Mwili wa kijana mmoja unaosadikika kuwa miongoni mwa miili mitano iliyopatikana eneo la Mlima Senjele wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe Mei 10 mwaka huu, umefukuliwa baada ya kutambuliwa kwa picha...
Abiria 24 wanusurika kifo, wanane wajeruhiwa Mbozi Songwe Madereva wawili mmoja wa basi dogo aina ya Coaster na Dereva wa Lori aina ya fuso wanashikiliwa na polisi kwa kusababisha ajali wakati wakijaribu kuyapita magari mengine eneo la mlimani...
Saba wajeruhiwa basi la New Force likiligonga lori Abiria saba waliokuwa wanasafiri katika basi la Kampuni ya New Force (Golden Deer) lililokuwa likitoka Tunduma kwenda Dar es Salaam wamejeruhiwa baada ya basi hilo kuligonga lori lililokuwa...
25 wakimbizwa hospitali wakidaiwa kunywa pombe yenye sumu Songwe Taharuki imeibuka katika Kijiji cha Halambo Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe baada ya watu 25 kufikishwa katika hospitali ya wilaya hiyo kwa madai ya kuugua baada ya kunywa pombe ya kienyeji.
Mahindi yaliyozuiwa Zambia ruksa kuingia nchini Hatimaye shehena ya mahindi iliyokuwa imekwama nchini Zambia, yaruhusiwa kuingizwa nchini baada ya Serikali ya Tanzania na Zambia kutatua changamoto hiyo kidipromasia ili kuimarisha mahusiano ya...
Zambia yafunga mipaka, wafanyabiashara wa Kitanzania hoi Watanzania wanaofanya biashara yam azo ya nafaka, wamejikuta katika wakati mgumu baada ya Mamlaka nchini Zambia kuzuia shehena zao na hivyo kuzusha hofu ya kupoza mitaji yao kufuatia serikali...
Takukuru yaanza uchunguzi ujenzi wa soko Tunduma Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoa wa Songwe, imeanzisha uchunguzi katika miradi ya ujenzi wa soko la wamachinga lenye thamani ya Sh.6 bilioni, katika Halmashauri ya Mji wa...
Chadema: Serikali iweke wazi kushuka bei ya mbolea soko la dunia Serikali imetakiwa kuweka wazi kuwa bei ya mbolea kwenye soko la Dunia imeshuka mwaka huu, badala ya kuwadanganya wananchi kuwa inatoa ruzuku wakati haiko katika bajeti ya mwaka huu...
Miili ya wanaume watano yaokotwa Zoezi la kumtambua miili ya watu watano (5) iliyookotwa ikiwa imetupwa kando ya barabara ya lami eneo la Mlima Senjele, Kata ya Nanyara, wilayani Mbozi; Mkoa wa Songwe, linaendelea.
‘Aua’ mke kisha kujinyonga kisa mapenzi Watu watatu wamefariki dunia katika matukio mawili tofauti, likiwamo la mwanaume kumuua mkewe kisha naye kujinyonga mkoani Songwe.