Kagera yaandikisha wanafunzi 60,743 wa darasa la kwanza
Ofisa elimu mkoa wa Kagera, Khalifa Shemahonge amesema malengo ya uandikishaji kwa darasa la kwanza yalikuwa ni wanafunzi 86,348, wavulana wakiwa 42,645 na wasichana 43,703. Hadi Desemba 20, 2022...