Mwenge wa Uhuru wamtaka RC Katavi kurejesha Sh163 milioni
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa, Sahili Nyanzabara amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Katavi (RC), Mwanamvua Mrindoko kurejesha Sh163.9 milioni za maendeleo ya mfuko wa vijana wanazodaiwa.