El Maamry: Kamati TFF sahihi Dar es Salaam. Wakati Serikali ikisema Katiba ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ina upungufu na inapaswa kufanyiwa marekebisho, Mwanasheria mkongwe na Mjumbe wa kudumu wa Shirikisho la Soka...
Makala: Kamati za Tenga batili Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makala amemshangaa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Tenga kutangaza kamati mpya za TFF wakati katiba yake...
Simba, Yanga Oktoba 20 Dar es Salaam. Mahasimu wa kihistoria wa Soka la Tanzania, Simba na Yanga wataumana Oktoba 20 katika mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara katika pambano litakalopigwa kwenye Uwanja wa...
TFF: Watano wa kigeni ruksa Dar. Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema sheria ya kutumia wachezaji watatu wa kigeni badala ya watano itaanza kutumika msimu wa 2014/15 hivyo msimu ujao wa 2013/14 wachezaji watano wa...
Simba, Yanga ruksa Kagame Dodoma/Dar es Salaam. Serikali imetoa ruksa kwa timu za Simba, Yanga na Falcon za Tanzania kushiriki Kombe la Kagame litakalofanyika nchini Sudan, huku viongozi wa timu hizo wakishangazwa na...
Wachezaji wageni kubanwa watano kufikia msimu uliomalizika, lakini kama azimio hilo litaungwa mkono na klabu, basi msimu wa 2013/14 utashuhudia wachezaji wachache wa kigeni. Klabu za Simba, Yanga na Azam ndizo...
TRA yaikaba koo tena TFF Dar es Salaam. Mamkala ya Mapato Tanzania (TRA), imeendelea kulibana Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), na safari hii imelikata kuanza mara moja kulipa deni la Sh573 milioni ambalo ni mjumuisho...
TFF: Mapinduzi ya Simba ni batili kubaini kuwa kwa mujibu wa Ibara ya 22(2) ya Katiba ya Simba, Mkutano Mkuu wa Dharura unaitishwa na Kamati ya Utendaji baada ya wanachama wasiopungua 500 kuwasilisha ombi hilo kwa maandishi na...
Mchakato Uchaguzi Mkuu TFF kurudiwa Dar es Salaam. Serikali imelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuandaa upya mchakato wa uchaguzi wake mkuu uliolalamikiwa na wadau mbalimbali wa soka nchini, kiasi cha
Hatima Uchaguzi TFF mahakamani Aprili 16 HATIMA ya Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania sasa itajulikana Aprili 16, wakati Mahakama Kuu ya Mwanza itakapotoa hukumu ya kesi ya Richard Rutambura aliyepinga