Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1438 results for Janeth Joseph :

  1. Wanafunzi 15 St Mary Goreti walazwa KCMC wakiugua tumbo

    “Kuhusu watoto kulazwa hospitali hatuwezi kuzungumza lolote, wasilianeni na mganga mkuu wa manispaa wao wataweza kutoa taarifa,” amesema mtawa huyo.

  2. PRIME ‘Housigeli’ afanyiwa ukatili, mwajiri wake mbaroni

    Ni simulizi inayoweza kukutoa machozi ya mtoto Melesiana Nestory (16) anayedai kufanyiwa ukatili na mtu anayedai ni mwajiri, akidai amekuwa akimpiga na kumjeruhi sehemu mbalimbali za mwili wake.

  3. VIDEO: Madarasa, funza vyatishia usalama wa wanafunzi Mwanga

    Shule ya Msingi Mlevo, iliyopo Mwanga mkoani Kilimanjaro inahitaji ukarabati wa madarasa ambayo ni chakavu na yenye vumbi pamoja na funza.

  4. Kauli ya Serikali miili ya raia wa kigeni ajali ya Arusha

    Ajali hiyo ilitokea Februari 24 na kusababisha vifo vya watu 25, wakiwemo raia 10 wa kigeni.

  5. KIA yaomba radhi zoezi la utayari la uvamizi kuzua taharuki kwa abiria

    Zoezi hilo lililofanyika Februari 26, 2024, lilikuwa sehemu ya mipango ya kukabiliana na majanga, likilenga kupima utayari wa uwanja wa ndege.

  6. Simanzi yatanda, miili 11 ya waliofariki kwa ajali Arusha ikiagwa

    Wamo watoto wawili wa familia moja, ambao ni mama na mwanaye.

  7. Wananchi Rombo walia kubomolewa nyumba kupisha barabara

    Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Mbomai kilichopo kata ya Tarakea Motamburu, wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro wanalazimika kulala nje baada ya nyumba zao kubomolewa kupisha ujenzi wa barabara...

  8. Utingo alivyotoa ishara ya hatari bila mafanikio

    Amesema, “Tulipofika kwenye mteremko, dereva nikawa namuuliza shida iko wapi akawa ananiambia breki haishiki, nikawa najaribu kupiga kelele watu watoke barabarani tusiwakanyage.”

  9. Serikali kutangaza viwango vipya vya vifuta jasho

    Fidia ya sasa ni Sh1 milioni kwa aliyekufa na Sh500,000 kwa aliyejeruhiwa.

  10. PRIME Maji sasa ni mateso kila kona Tanzania

    Kwa wakazi wa eneo kama vile Mbezi Msumi jijini Dar es Salaam, kuna nyakati hulazimika kununua ndoo moja kwa Sh1, 300.

Previous

Page 68 of 144

Next