Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1438 results for Janeth Joseph :

  1. Wananchi Rombo waomba  kuua nyani

    Nyani hao ambao hutembea makundi kwa makundi nyakati za asubuhi na jioni wanadaiwa kuwa ni tishio katika jamii zinazoishi pembezoni mwa mto Mlembea na maeneo ya tambarare wilayani humo.

  2. Mwili wa mwanafunzi wapatikana siku tano baada ya kuzama mtoni

    Mwanafunzi huyo akiwa na mwanafunzi mwenzake, Lodrick Orota (13) waliokuwa wakisoma Shule ya Msingi Tumaini, wamefariki dunia baada ya kusombwa na maji Jumamosi Januari 27, 2024 wakati wakiogelea...

  3. Nyumba yaangukiwa na udongo Same, wanafunzi wawili wafa

    Ndani ya nyumba pia, kulikuwa na watu wanane wamelala wakiwamo baba, mama na ndugu wengine wanne ambao wamenusurika

  4. Mwili wa mwanamke uliozikwa kando mwa barabarani wafukuliwa

    Mwili wa mwanamke huyo ambao haujajulikana wala eneo alikouawa, uliokotwa jana Jumapili, Januari 28, 2024, ukiwa umeharibika kiasi cha kutoa wadudu.

  5. Wachangishana Sh217 milioni kuboresha hospitali Rombo

    Dk Daria Mushi amesema hadi sasa zimeshatolewa Sh101 milioni kati ya Sh217 milioni zilizoahidiwa na wadau katika harambee iliyofanyika hospitalini hapo mwaka 2022.

  6. Rais Samia agusa maisha ya diwani  mwenye ulemavu

    Diwani huyo aliyepata ulemavu baada ya kuanguka sakafuni na kuvunjika uti wa mgongo mwaka 2008, amekabidhiwa kiti mwendo hicho kinachotumia umeme na Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni kwa...

  7. Mbunge aililia Serikali waliothiriwa kwa mvua

    Naye Fredrick Shuma amesema: "Tumepata hasara kubwa sana, ni njaa ambayo hatutakaa tuisahau, maana tukio hili ni la mara ya kwanza kutokea katika kitongoji hiki na ni kama kitongoji chote kizima...

  8. Tanapa yafunga kipande cha njia Mlima Kilimanjaro

    Kwa mujibu wa taarifa hiyo, baada ya kusitisha matumizi ya kipande hicho, itatumika njia ya kawaida ya kutokea Baranco kelekea Karanga hadi kufika kileleni, hadi hapo mvua zitakapokoma na...

  9. Serikali kufanya tathmini madhara ya mvua Hai

    Serikali imeanza kufanya tathmini ya maeneo ya yaliyoathiriwa na upepo mkali uliombatana na mvua za mawe iliyoathiri zaidi ya nyumba 15 na ekari 20 za mashamba ya kahawa na migomba katika kata ya...

  10. Mvua  ilivyoacha maumivu mmoja adaiwa kufa Dar

    Miongoni mwa athari iliyosababishwa na mafuriko ni kusombwa kwa mali, uharibifu ikiwemo wa magari ambayo mengine yalisombwa na maji, makazi kujaa maji na kuezuliwa mapaa, miundombinu kuharibiwa...

Previous

Page 70 of 144

Next