Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

147 results for Alodia Dominick :

  1. Samia akerwa upigaji miradi ya maendeleo

    Rais Samia Suluhu Hassan amehitimisha siku 195 za mbio za Mwenge wa Uhuru katika uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba jana kwa kuonyesha hadharani kuchukizwa na taarifa za kila mwaka za uwepo wa...

  2. Halmashauri kikaangoni fedha za uchumi wa vijana

    Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, Sahil Geraluma ameziagiza halmashauri saba za Mkoa wa Kagera kuhakikisha Sh217.5 milioni za mfuko wa vijana zilizotolewa na Serikali kusaidia shughuli za...

  3. Waziri Ummy aagiza elimu mipakani tahadhari ya Ebola

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema wataendelea kuchukua tahadhari kuhakikisha ugonjwa wa ebola hauingii nchini kwa kutoa elimu kwa makundi mbalimbali wakiwemo waganga wa kienyeji.

  4. ‘Serikali haitafunga mpaka wa Uganda’

    Serikali imesema itajikita katika kutoa elimu kwa umma kuhusu namna ya kujikinga na mlipuko wa Ebola badala ya kufunga mipaka mkoani Kagera.

  5. Serikali kutoa vishikwambi kupata taarifa za Ebola

    Wizara ya Afya inatarajia kutoa vishikwambia 90 kwa wahudumu wa afya mkoani KLagera ili kukusanya taarifa na tetesi za maambukizi ya Ebola.

  6. Serikali yafunga maabara tembezi ya Ebola Kagera

    Katika juhudi za kudhibiti mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini, Serikali imeweka maabara tembezi ya kupima virus vya ugonjwa huo katika kituo cha afya Kabyaire kilichopo wilaya ya Misenyi mkoani...

  7. Sh30 bilioni kulipa fidia wananchi mgodi Nickel, Waziri Biteko asema…

    Kampuni ya uchimbaji madini ya Tembo Nickel inatarajia kutoa Sh30 bilioni kama fidia kwa wananchi wilayani Ngara Mkoa wa Kagera waliopo eneo la mgodi wa uchimbaji madini ya Nickel.

  8. Akutwa na mihuri ya Serikali akiitumia kuvusha magari mpakani

    Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia raia wa Uganda (jina limehifadhiwa), kwa kukutwa na mihuri mitatu ya serikali anayodaiwa kugonga nyaraka za magari ya mizigo yaendayo nchini Uganda...

  9. RIPOTI MAALUMU: Siri wananchi kususia vikao serikali za mitaa

    Wakati vumbi la uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019 likiwa bado halijatulia, baadhi ya wenyeviti wa mitaa na vijiji nchi nzima wanashindwa kuitisha mikutano ya kila robo mwaka kutokana na...

  10. RC Chalamila atua Kagera, apewa majukumu 3

    Mkuu wa Mkoa wa Kagera (RC), Albert Chalamila ameahidi kutekeleza kauli ya Serikali ya kuinua uchumi wa mkoa huo kwa lengo la kuwaletea maendeleo wananchi wa Kagera.

Previous

Page 8 of 15

Next