TFF kujadili tamko la Serikali SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limeitisha kikao cha dharura Kamati ya Utendaji ili kujadili tamko la Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo kutokuitambua katiba
Soka la Tanzania mashakani TANZANIA huenda ikajikuta matatani na Shirikisho la Soka Kimataifa (FIifaFA) baada ya Serikali kuingilia kuifuta katiba mpya ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Klabu Ligi Kuu "zaichokonoa" TFF MZUNGUKO wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara unatarajiwa kuanza mwishoni mwa wiki huu, huku klabu zikitoa masharti magumu
Yondani, Domayo waikosa Stars KIUNGO Frank Domayo na beki Kelvin Yondani wameshindwa kujiunga na Taifa Stars kutokana na utata wa tiketi zao na leo wataichezea Yanga katika mchezo wake wa mwisho wa kirafiki
Poulsen atoa msimamo mkali KOCHA wa Timu ya Taifa (Taifa Stars), Kim Poulsen amesema yuko tayari kutimuliwa kazi iwapo tu msimamo wake wa kutetea nidhamu kwa wachezaji kwenye kikosi chake utakuwa kikwazo kwa wengine.
Ethiopia, Taifa Stars kukipiga Dar TIMU ya taifa ya Ethiopia inatarajia kucheza mechi za kirafiki za kimataifa na Tanzania pamoja na Morocco kwa ajili ya kujiandaa na Fainali za Mataifa ya Afrika 2013.
Toto waahidiwa sh 500,000 kila mmoja wakiifunga Simba WACHEZAJI wa Toto African wameahidiwa ya sh 500,000 kila mmoja endapo watafanikiwa kuifunga Simba kesho
Azam kupigilia msumari mwingine kwa Simba leo? BAADA ya kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Yanga, timu ya Azam FC leo itashuka dimbani kuivaa JKT Oljoro ikiwa na lengo la kupata ushindi na kuiporomosha Simba hadi nafasi ya tatu kwenye msimamo wa...
Sare zawaponza Boban,Nyosso kutekeleza agizo la Kamati ya Nidhamu, Maadili na Hadhi za Wachezaji zilizoitaka klabu hiyo ya Jangwani kuilipa Simba ndani ya siku 21. Akizungumza juzi, Dar es Salaam, Hanspope alisema, klabu...