Ajali ilivyowaua mama, watoto wanne Watu wanane, wakiwemo watano wa familia moja wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha magari mawili kugongana uso kwa uso katika barabara kuu ya kutoka Lusahunga kuelekea Nyakahura wilayani...
Ajali yaua wanane Kagera, watano wafamilia moja Watu wanane wakiwemo watano wa familia moja wamefariki dunia baada ya gari walilokuwemo kugongana uso kwa uso na gari la mizigo usiku wa kuamkia leo Jumanne, wilayani Biharamuro, Mkoa wa Kagera.
Rais Samia aagiza kutengwa hekari 100,000 kilimo cha alizeti Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Mkoa wa Kagera kutenga ardhi kati ya hekari elfu 70 hadi laki moja kwa ajili ya kulima mashamba makubwa ya...
Rais Samia ziarani siku tatu Kagera Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa na ziara ya siku tatu mkoani Kagera ambapo katika ziara hiyo ataziandua mradi wa maji wenye thamani ya zaidi ya Sh15 bilioni pamoja na kuzindua msikiti wa...
Atuhumiwa kubaka watoto watatu wa shule ya msingi Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia Maiko Martini (30) mkazi wa kata ya Nshambya Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera kwa tuhuma ya kuwabaka watoto watatu wenyewe umri kati ya miaka 10 na 12...
Watalii Ibanda-Kyerwa walia na ubovu miundombinu Baadhi ya watalii waliotembelea hifadhi ya Taifa ya Ibanda-Kyerwa mkoani Kagera wameomba Serikali kutatua changamoto zilizopo kwenye hifadhi hiyo ikiwa ni pamoja na kutengeneza miundombinu ya...
Watu wasiojulikana wachoma gari la hakimu Gari hilo limeteketezwa usiku wa kuamkia Mei 09, 2022 wakati hakimu huyo akiwa amelala nyumbani kwake
Watoto 637,720 kuchanjwa polio Kagera Watoto 637,720 mkoani Kagera wanatarajiwa kupata chanjo ya polio ili kuwaepusha na athari ya ugonjwa huo unaoweza kusababisha kupooza baadhi ya viungo vya mwili.
Bashungwa ampa kazi kigogo wa Tarura Bashungwa amemwagiza Meneja Tarura Manispaa ya Bukoba kufanya utafiti wa barabara yenye urefu wa mita 700 ili iweze kutengenezwa
Waziri awaonya wanaoiba madini Waziri wa Madini, Dotto Biteko ametoa onyo kwa wanaoiba madini na kuyauza bila utaratibu kwani Serikali itawachukulia hatua kali za kisheria.