Siri wanafunzi wa vyuo kudondoka masomoni Wakati idadi ya wanafunzi wanaofeli na kushindwa kuendelea na masomo vyuo vikuu ikiongezeka, ugumu wa maisha unatajwa kuchangia hali hiyo.
Daladala Dar kila muda nauli yake Licha ya nauli halali zilizowekwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini (Latra), kuna nyakati abiria jijini hapa hulazimika kulipia usafiri mara mbili zaidi kuepuka adha ya kukaa vituoni muda...
Usajili wa ndege zisizo na rubani sasa ndani ya siku 14 Warusha ndege zisizokuwa na rubani (drones) 245 wamesajiliwa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) ili watumie vifaa vyao katika maeneo tofauti nchini, tangu utaratibu huo uanze mwaka 2020.
Treni SGR bado, wadau washauri PPP Wakati danadana zikiendelea katika mradi wa reli ya kisasa (SGR), Serikali imeshauriwa kuangalia namna ya kutekeleza mradi huo kwa ubia kati ya Sekta Binafsi na Serikali (PPP).
Ubora wa elimu vyuoni shakani, wahadhiri tatizo Ubora wa elimu ya vyuo vikuu nchini unatajwa kuwa kwenye hatari kutokana na uhaba wa wahadhiri.
Warusha 'drones' kusajiliwa kielektroniki Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imezindua mfumo mpya wa kielektroniki kwa ajili ya kuwarahisishia watu wanaorusha ndege zisizokuwa na rubani (drones), kutuma maombi ya vibali na...
Ufanisi Bandari Dar wapaa, wabunge walilia uwekezaji Wakati ripoti ya Benki ya Dunia (WB) ikionyesha kuwa ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam umeongezeka na kuipiku ile ya Mombasa nchini Kenya katika orodha ya bandari zenye ufanisi zaidi duniani...
Serikali yatenga Sh599.7 bilioni matengenezo ya barabara Ili kuhakikisha barabara kuu na zile za mikoa zinapitika vipindi vyote vya mwaka, Sh599.756 bilioni zimetengwa kwa ajili ya matengenezo na ukarabati katika mwaka wa fedha 2023/2024.
VIDEO: Mama asimulia maisha ya mtoto wake asiye na fuvu Msemo wa “Hujafa hujaumbika,” unasadifu hali ya Hussein Shaban, ambaye mwaka takribani wa tatu sasa, anaishi bila fuvu la mbele baada ya kupata ajali ya pikipiki Julai 19, 2020.
ACT-Wazalendo waitaka Serikali kufuta sheria zinazobana uhuru wa vyombo vya habari Chama cha Act Wazalendo kimeitaka Serikali kufuta sheria zote kandamizi na zinazopora uhuru wa vyombo vya Habari na kutengeneza sheria mpya kwa kushirikiana na wadau, zitakazolenga kuleta uhuru...