PRIME Hofu yatanda kwa watia nia CCM Kuchukua na kurudisha fomu ni jambo moja, lakini kupenya katika mchujo na kuwa kati ya watatu watakaopigiwa kura za maoni na wajumbe, ni jambo lingine.
Sabasaba ya ghasia nchini Kenya, Gen-Z waingia tena barabarani Gen-Z hao wa Kenya wamekuwa wakiandamana mara kadhaa wakipinga utawala wa Rais William Ruto, wakidai amewasaliti kwa kuwa, hajatimiza ahadi yake ya kuwaletea maisha bora hasa watu wa hali ya...
Teknolojia kudhibiti uvujaji wa mafuta baharini Imeelezwa kuwa, inapotokea mafuta yamwemwagika, mimea na viumbe hai vitakufa au kuondoka katika mazingira hayo, hivyo kuathiri pia uoto wa asili wa eneo husika na kutopatikana tena.
Haya hapa matokeo ya kidato cha sita 2025 Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha sita uliofanyika Mei 5 hadi 26, 2025. Matokeo hayo yametangazwa leo Jumatatu, Julai 7, 2025 visiwani Zanzibar na...
ACT Wazalendo yamjibu Rais Samia kuhusu amani, utulivu Kauli ya Dorothy inajibu kilichoelezwa na Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa hema la Kanisa la Arise and Shine, aliposisitiza kuendelea kuwepo kwa amani na utulivu nchini.
JAB kushusha rungu kwa waandishi waliotia nia wakiendelea na kazi Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeelekeza waandishi wa habari waliotangaza nia ya kugombea nafasi za kisiasa wasitishe mara moja shughuli zote za kihabari katika...
PRIME Nzengo: Nguvu ya mshikamano Kanda ya Ziwa Katika miji na vijiji vya mikoa ya Kanda ya Ziwa, sauti ya kilio au yowe inaposikika kuashiria tatizo, ikiwamo taarifa za kifo, mfumo wa kijamii uitwao nzengo huchukua nafasi yake.
Watia nia, wajumbe CCM waonywa Wito huo umetolewa leo Alhamis Julai 3, 2025 jijini Mwanza na Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza, Omary Mtuwa wakati akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusu mchakato huo.
Kamati ya Sera ya Fedha yapunguza riba kuongeza pesa kwenye mzunguko Mwenyekiti wa MPC, Emmanuel Tutuba akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 3, 2025 amesema lengo la hatua hiyo ni kuongeza fedha katika mzunguko kipindi ambacho ni cha mavuno ili...
PRIME Majaliwa aacha maswali matatu Kassim Majaliwa ameungana na Fredrick Sumaye kuwa miongoni mwa mawaziri wakuu walioongoza kwa kipindi cha miaka 10 mfululizo, wengine tisa waliongoza chini ya miaka hiyo