Search

1067 results for Habel Chidawali :

  1. Wakunga, wauguzi 4,166 kufanya mitihani Desemba 29, 2023

    Wauguzi na wakunga 4,166 wanatarajia kufanya mitihani ya usajili wa leseni ifikapo Desemba 29, 2023 katika vituo saba nchini.

  2. Chibulunje akemea uuzaji ardhi kiholela

    "Mnapofanya jambo lolote mahali popote msiache kuweka alama mlikotoka, ili watu wa vijiji vyenu watambue umuhimu wa kusomesha watoto kwamba kuna faida," amesema.

  3. Wananchi walia Polisi kuwatesa

    Wananchi na viongozi wa kijiji cha Chipanga A katika Wilaya ya Bahi wamelalamikia walichokiita mateso na maumivu wanayopata kutoka kwa Polisi Kata, Masunga Mnada.

  4. PRIME Vita mpya Waziri Silaa, wenyeviti wa mitaa

    Agizo la Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kupiga marufuku wenyeviti wa serikali za mitaa na vijiji kujihusisha na uuzaji wa ardhi (viwanja na mashamba), limepingwa na wenyeviti hao...

  5. NCC yaja na mkakati wa kuwa na sheria moja ya ujenzi

    NCC imeandaa andiko kwa ushirikiano wa watumishi wa Serikali na sekta binafsi ambalo limeshakabidhiwa Wizara ya Ujenzi

  6. Chadema yagongelea msumari mwingine sakata la kina Mdee

    Mdee na wenzake 18 waliingia kwenye mgogoro na chama chao baada ya kuelezwa kuwa walijipeleka kuapishwa bila ridhaa ya uongozi wa Chadema

  7. Ndalichako: Rais Samia asihusishwe kuahirishwa maadhimisho ya CWT

    Serikali imesema Rais Samia Suluhu Hassan asihusishwe na kuahirishwa maadhimisho ya miaka 30 ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT).

  8. Rais Samia asihusishwe kuahirishwa maadhimisho ya CWT -Ndalichako

    Amesema Serikali itaendelea kushirikiana na wafanyakazi wote wakiwamo walimu, ambao wanafanya kazi kubwa ya kuwalea na kuwajengea ujuzi watoto kwa ajili ya kujenga Taifa na ustawi kwa Watanzania.

  9. Dk Gwajima ataka uhuru kwa wanahabari

    Wakurugenzi na watoa habari katika taasisi za umma, wamekumbushwa wajibu wa kushirikiana na waandishi wa habari kwenye maeneo yao kukubali kuandikwa kwa wasiyoyapenda alimradi yawe na ukweli...

  10. Mahari ya kuoa mwanamke wa Kiafrika yatajwa chanzo cha ukatili kwenye ndoa, familia

    Mahari inayotolewa kwa wazazi wa mwanamke kabla ya kuolewa imetajwa ndiyo chanzo cha manyanyaso na mateso katika familia nyingi.

Page 1 of 107

Next