Search

520 results for Kelvin Matandiko :

  1. Sukari yauzwa kama bangi mtaani

    Sukari sasa imeanza kuuzwa kwa mfumo kama wa biashara haramu katika maeneo mbalimbali nchini, ikiwa ni siku ya saba tangu Serikali ilipotangaza bei elekezi ya bidhaa hiyo.

  2. Bashe aibua mapya sakata la sukari

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema Serikali itaendelea kuwalinda kwa umuhimu wao wafanyabiashara wa sukari nchini, lakini hatakubali wafanyabiashara saba watumie mwanya huo kwa kuwaumiza...

  3. Tanzania kusaka fursa za madini Afrika kusini

    Serikali ya Tanzania inatarajia kuongeza idadi ya kampuni mpya za utafiti na uchimbaji madini pamoja na ubia kwenye kampuni za huduma na usambazaji wa bidhaa katika sekta hiyo kupitia ushawishi...

  4. Nchimbi aonya makada CCM wanaotukana watumishi serikalini

    Bila kutaja majina, Dk Nchimbi amesema kumekuwa na utamaduni wa viongozi wa chama hicho kutoa maelekezo kwa viongozi wa Serikali.

  5. Unahitaji ufadhili wa masomo nje ya nchi? Changamkia fursa

    Nchi tatu zimetangaza ufadhili wa shahada ya kwanza, uzamili na uzamivu katika muhula wa mwaka 2024/25.

  6. Maudhui ya ukatili kwa watoto sasa marufuku Youtube

    Habari njema ni kwamba, jukwaa la maudhui mtandaoni la YouTube halitaruhusu tena maudhui yanayoigiza kwa uhalisia watoto waliofariki au walioathiriwa na matukio ya ukatili wa kijinsia.

  7. Tesla kuja na gari la umeme lenye kasi zaidi

    Kwa mujibu wa taarifa ya mtandao wa kimataifa wa ElectricalSuv, maandalizi ya ujio wa gari hilo yalianza mwaka 2017, huku mmiliki wa kampuni hiyo, Elon Musk, akisema anakusudia kufanya mageuzi ya...

  8. Wadukuzi waendelea kutikisa vigogo duniani

    Baadhi ya watu mashuhuri na taasisi zikiwamo za umma ni miongoni mwa waathirika wa kundi la wadukuzi wa mifumo, uwezo mkubwa unaotumika ili kujipatia mafanikio kwa njia haramu.

  9. Mwelekeo mpya huduma za WhatsApp

    Kampuni ya Meta imefikiria mabadiliko ya kuweka uhuru wa kuchagua kuunganisha taarifa zako na majukwaa yake mengine katika mfumo huo mpya.

  10. PRIME Mfumo wa dijitali mwarobaini Dart -3

    Mfumo wa dijitali unatajwa kuwa miongoni mwa suluhu za changamoto zinazoikabili Dart, je ni kwa namna gani? endelea...

Page 1 of 52

Next