Vijana wafunga ofisi ya Katibu UVCCM Mufindi Vijana wa UVCCM wilayani Mufindi mkoani Iringa wameamua kufunga ofisi ya umoja huo wakilalamikia kutoridhishwa na utendaji wa Katibu.
Wafanyabiashara 18 nguvuni kukiuka bei elekezi ya sukari Katavi Wafanyabiashara 18 mkoani hapa, wamekamatwa wakiuza sukari Sh3500 hadi 4000 kwa kilo moja, kinyume na bei elekezi ya Serikali ya Sh3200.
Ukosefu wa madaktari bingwa shubiri kwa wananchi Wilaya ya Tanganyika Wengi washindwa kumudu gharama za matibabu nje ya wilaya yao ambayo ina tatizo la madaktari bingwa
Wananchi wanaodai fidia wasusia mkutano wa RC Katavi Kupitia ziara ya mawaziri wanane kujiridhisha na kutoa mapendekezo kwenye maeneo yenye migogoro ya ardhi, waliamuru wananchi hao walipwe fidia kwa kuwa hawakuvamia isipokuwa wameuziwa.
Bajeti ya Sh63.5 bilioni kukamilisha miradi viporo Mufindi Imeelezwa kuwa, matarajio ya wananchi ni kuona miradi mbalimbali inatekelezwa ikiwamo ujenzi wa madarasa na zahanati
Baba adaiwa kufukua mwili wa mwanaye ukafanyiwe maombi afufuke Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi limesema mtuhumiwa alipofanyiwa uchunguzi alibainika kuwa na tatizo la afya ya akili
Binti atupa kichanga chooni hospitalini akihofia kuachika Rehema Erick (19) mkazi wa Kijiji cha Mtapenda Halmashauri ya Nsimbo ametupa mtoto chake kichanga cha siku moja chini ya sinki la kunawia mikono kwenye choo cha hospitali ya Nsimbo muda mfupi...
124 wadakwa Katavi kwa makosa mabalimbali Jeshi la Polisi mkoa wa Katavi linawashikiliwa watu 124 wakituhumiwa kufanya makosa tofauti, kati yao wanne wanahusishwa na tukio la mauaji ya watoto wawili.
Kizungumkuti uzalishaji pamba Katavi Usimamizi mbovu katika uzalishaji wa pamba mkoani Katavi, watajwa kama chanzo kutofikia malengo ya uzalishaji na hivyo kushindwa kukidhi mahitaji ya kinu cha kuchambua pamba cha kampuni ya NGS.