Search

522 results for Mgongo Kaitira :

  1. PRIME Mkuu wa mkoa ashangaa kuulizwa  ‘sangoma wake’

    Asimulia alivyopigiwa simu akiulizwa 'fundi' anayemnyoshea mambo

  2. PRIME Mgomo wa madaktari Kenya wakimbilia nchini

    Wagonjwa raia wa nchini Kenya wameanza kuingia Tanzania kutafuta huduma za matibabu kutokana na mgomo wa madaktari na maofisa tabibu wa hospitali za umma nchini humo unaoendelea, huku idadi ya...

  3. Sababu zinazopunguza samaki Ziwa Victoria

    Kutokana na uhaba wa samaki ndani ya Ziwa Victoria, sangara mwenye uzito wa kilo sita ameuzwa Sh120,000 katika mnada wa Gadala uliofanyika Mwalo wa Butuja wilayani Ilemela

  4. Familia yatoa msimamo ndugu aliyekufa kwa kubanwa 'nyeti’, kuchomwa kisu na mkewe

    Mchungaji Amos Festo amewataka waombolezaji kutorejesha kisasi kwa mtuhumiwa, na badala yake kumrudia Mungu.

  5. PRIME Mgomo wa madaktari Kenya, wagonjwa wakimbilia hospitali za Tanzania

    Miongoni mwa wagonjwa wakishuka kwenye gari wakitokea mpakani mwa Kenya na Tanzania wakifuata matibabu katika Hospitali ya Ngoyoni iliyopo Wilaya ya Rombo, Mkoani Kilimanjaro baada ya madaktari...

  6. Mateso ya saa 8 bila umeme, Tanesco yatoa tamko

    Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limeeleza kuwa imetokea hitilafu kwenye mfumo wa njia ya kusafirishia umeme ya gridi ya Taifa.

  7. Biashara ya nyama yadoda Ijumaa Kuu Mwanza

    Ijumaa ya mwisho wa juma kabla ya Pasaka hutumiwa na wakristo kuabudu huku wakitakiwa kutokula kitoweo chenye damu

  8. Grace shujaa aliyebaini wagonjwa 120 wa TB

    Grace amesema hakutarajia iwapo uvimbe uliomtoka shingoni ingekuwa TB iliyomsotesha kitandani kwa zaidi ya miezi 12

  9. PRIME VIDEO: Mtihani mama adai kutakiwa kuwakamata wanaodaiwa kumlawiti mtoto wake

    Katika hali isiyo ya kawaida, mkazi wa Mtaa wa Buguku Kata ya Mkolani jijini Mwanza, (jina linahifadhiwa) amelalamikia kutakiwa kuwakamata watuhumiwa wanne wanaodaiwa kumlawiti mtoto wake wa...

  10. Siri mwanafunzi anayesoma  Veta kupatiwa ajira na mbunge

    Mwanza. “Mungu hamtupi mja wake.” Ndiyo msemo unaoweza kuutumia kuelezea kisa cha Leticia Charles (25), mwanafunzi wa fani ya ufundi bomba katika Chuo cha Ufundi Stadi (Veta) kilichopo Nyakato...

Page 1 of 53

Next