Search

1164 results for Mussa Juma :

  1. PRIME Kauli ya 'tutawapoteza' ya kigogo UVCCM moto

    Msajili wa vyama vya siasa, Jaji Francis Mutungi atoa neno. Sheikh Ponda akumbusha waliopotea

  2. Mafuriko Turiani 45 waokolewa, nyumba 13 zabomoka

    Mafuriko hayo yalitokana na mvua kubwa zilizonyesha mkoani Arusha usiku wa kuamkia Aprili 11 ambapo maji yake hupita katika wilaya hiyo kupitia mto Mbulumi.

  3. Rais Mwinyi ashiriki mazishi ya mbunge aliyefariki ghafla

    Mwili wa Mbunge wa Kwahani (CCM), Ahmed Yahya Abdulwakil umezikwa kijijini kwao Muyuni Zanzibar

  4. ‘Tuendelee kuyaishi maisha ya mwezi mtukufu wa Ramadhan’

    Sheikh Ally Mussa amesema kipindi cha mfungo watu hujinyima na kuwakumbuka wahitaji na maisha huwa ya furaha muda wote

  5. Wadau, wanahabari wamlilia Ubwani akiagwa, kuzikwa kesho kijijini kwao Katesh

    Ubwani aliyefariki dunia akiwa na umri wa miaka 70, ameacha mjane na watoto wanne.

  6. 'Karume aenziwe kwa viongozi kujishusha kwa wananchi'

    Maoni ya wananchi kwenye kumbukizi ya kiongozi huyo ni kusaidiwa wasiokuwa na uwezo kama ambavyo alifanya shujaa huyo wa Mapinduzi wakati wa uhai wake.

  7. Watano wasimamishwa kazi tuhuma kifo cha mjamzito aliyewekewa damu isiyo sahihi

    Mkuu wa Wilaya ya Tanga, James Kaji ameagiza kusimamishwa kazi kwa watumishi watano wa Kituo cha Afya cha Mikanjuni kwa kutuhumiwa kuhusika na kifo cha mjamzito Fatma Mussa (36) kilichotokea...

  8. Mzee Malecela ahani msiba wa Lowassa Monduli, atoa ng'ombe

    Mzee Malecela afika Monduli kuhani msiba wa Lowassa

  9. Wawakilishi wakunwa na uwekezaji gesi Mtwara

    Mtwara . Zaidi ya futi za ujazo 57.54 za gesi asilia zimeshagundulika nchini huku kiwango kikubwa kikiwa kwenye kina cha bahari ambapo bado hakijachimbwa. Hayo yameelezwa na Mjilojia wa Mamlaka ya...

  10. Kalenda ya Fifa yazibeba Simba, Yanga

    Muda mchache baada ya droo, Mtendaji Mkuu wa Yanga, Andrew Ntime alisema haoni kama ni vyema wachezaji wa timu hiyo kwenye na kikosi cha Stars.

Page 1 of 117

Next