Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

266 results for Thobias Sebastian :

  1. PRIME Mshikemshike uchukuaji fomu CCM

    Mshikemshke wa uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuwania uteuzi wa nafasi za udiwani, ubunge na uwakilishi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) umeanza rasmi leo, Juni 28, 2025, na kuvutia makada...

  2. Yanga yaipigisha Mazembe kwata kwa Mkapa

    Wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika Yanga, imepata ushindi wa kwanza nyumbani Uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye mchezo dhidi ya TP Mazembe kutokea DR Congo.

  3. Simba yaizidi akili Horoya

    Winga wa Simba, Pape Sakho alisema wanakwenda kucheza mechi ngumu ila wachezaji wamekubaliana kila mmoja kwa nafasi yake kupambana ili timu ianze kwa matokeo mazuri.

  4. Robertinho atoa ramani ya vita Simba

    Kocha huyo aliyeeenda Brazili kwa ishu zake binafsi, jana alionana na wachezaji akafanya kikao kifupi na wasaidizi wawili, Juma Mgunda na Ouanane Sellami ili kuelezwa kile kilichofanyika kwenye...

  5. Mbrazili Simba akomalia matano

    Robertinho alisema jambo la kwanza amefanya mabadiliko ya kimfumo kutokea 4-2-3-1, aliyokuta timu inatumia mara ya mwisho na chini yake anapenda kutumia mifumo miwili 4-2-4 au 4-1-3-2.

  6. Baleke aanza na mkwara Simba

    Beleke alisema anamfahamu, John Bocco kabla ya kuja Tanzania aliweza kumfuatilia na kugundua kuwa anajua kufunga na msimu huu amefunga mabao tisa, hadi sasa ingawa mwanzoni hakuanza vizuri.

  7. Yanga yalipa kisasi, Mayele bado moja

    Yanga baada ya mchezo huo kupoteza ilicheza mechi sita za ligi na kushinda zote hadi unakutana tena na Ihefu leo (Jumatatu), Uwanja wa Benjamin Mkapa.

  8. Okwa, Akpan ni Ihefu

    NYOTA wawili wa Simba, Nelson Okwa na Victor Akpan waliosajiliwa kwenye dirisha kubwa la usajili msimu huu wamekubali kutolewa kwa mkopo kwenda Ihefu kwenye dirisha ambalo litafungwa kesho...

  9. Simba yamtumia straika mkataba

    MEZANI kwa mabosi wa Simba kuna majina ya wachezaji wapya wanne kati ya hao watatu watasajili kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa Januari 15, licha ya kubaki siku mbili kutokea leo, huku...

  10. Uraia wawakwamisha Akpan, Okwa kuingia Dubai

    Umoja wa Falme za Kiarabu, uliwekwa sheria miezi miwili iliyopita wa kuzuia raia yeyote kutoka Nigeria kupata viza, kitu kilichowakwamisha nyota hao ambao wamepewa programu maalumu ya kujifua...

Page 1 of 27

Next