Rais CWT amkingia kifua Katibu mkuu Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Leah Ulaya ameibuka na kueleza kuwa kikao cha wajumbe 18 wa Kamati ya Utendaji Taifa walioazimia kumsimamisha kazi Katibu mkuu wa chama hicho, Japhet...
Rais wa Chama cha Walimu Tanzania atema cheche Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Leah Ulaya amesema, Msajili wa Vyama vya Wafanyakazi na Waajiri nchini amemuandikia Katibu Mkuu wa Chama hicho barua ya kubatilisha maamuzi ya kikao...
18,449 wapata ajira Tamisemi Kati ya waombaji 171,916 walioomba nafasi za kazi katika kada ya ualimu na afya kupitia Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais Tamisemi, 18,449 wamechaguliwa na kupangiwa vituo vya kazi.
419 wadanganya kuwa na ulemavu wapate ajira za Tamisemi Kati ya waombaji 171,916 walioomba ajira katika kada ya ualimu na afya kupitia Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais Tamisemi, waombaji 1169 walijitambulisha kuwa walemavu lakini uchunguzi umebaini...
Dk Mollel atoa maelekezo Siku ya Hedhi Duniani Naibu Waziri wa Afya Dk Godwin Mollel amesema hataki kuitwa kwenye ukumbi kama mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya hedhi salama Duniani ya mwaka 2024 kama ilivyofanywa mwaka huu, badala...
Wataalamu wagundua mashine ya kuzalisha taulo za kike kwa Sh200 Serikali imezindua mashine itakayomwezesha mwanafunzi kununua pisi moja ya taulo ya kike kwa Sh200 ili kusaidia wanafunzi wanaokosa masomo kutokana na ukosefu wa miundombinu rafiki ya kujihifadhi...
Jaji Mkuu ataka Tehama kuziba pengo watumishi mahakamani Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma amewataka Watumishi wa Mahakama kuchochea matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) ili sekta ya Mahakama iwe sehemu ya mabadiliko na...
Waziri Ummy ataka NIMR kutafiti tiba asili ya BP Hatua ya uchunguzi huo imefikiwa na Serikali kutokana na ongezeko la wagonjwa wa Shinikizo la juu la damu nchini.
Uchunguzi kifo tata cha mwanafunzi Udom bado Jeshi la Polisi nchini limesema halijakamilisha uchunguzi wa taarifa za kifo cha aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Nusura Abdallah na kuwataka wananchi wawe na subira.
Vijana wapewa mbinu kufanikiwa sekta binafsi Dodoma. Ukosefu wa vyanzo endelevu vya fedha, upungufu wa rasilimali watu na uwezo mdogo wa kitaalamu ni changamoto zinazotajwa kuzuia sekta binafsi kushiriki kikamilifu kuimarisha sera, ukosefu...