Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1449 results for Janeth Joseph :

  1. Ahadi ya Serikali kwa wakulima wa miwa

    Waziri wa Kilimo nchini Tanzania, Profesa Adolf Mkenda amesema Serikali imejipanga kuhakikisha wakulima wa miwa wanapata masoko ya uhakika.

    New Content Item (1)
  2. Polisi waendesha msako tukio la mama na mwanaye kufia gesti

    Irene Lyimo(21) mkazi wa kata ya Kilema Kaskazini Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro na mwanaye wa mwaka mmoja wamekutwa wamekufa katika nyumba ya kulala wageni.

  3. Meya Moshi aamuru kuvunjwa ukuta ofisi za basi la Kilimanjaro Express

    Meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameagiza kuvunjwa kwa uzio unaozunguka jengo la ofisi za kampuni ya usafirishaji ya mabasi ya Kilimanjaro Express uliojengwa kinyume na sheria za mipango miji.

  4. Kundi jingine la nzige laingia Tanzania

    Waziri wa Kilimo nchini Tanzania, Profesa Adolf Mkenda amesema wakati serikali ikipambana kuwaangamiza nzige wa jangwani walioingia nchini Februari mwaka huu limeingia kundi jingine jipya...

  5. Waziri Mkenda aeleza nzige wanavyodhibitiwa

    Waziri wa Kilimo nchini Tanzania, Profesa Adolf Mkenda amesema nzige wa jangwani walioingia wilayani Siha mkoani Kilimanjaro wakitokea Longido wamedhibitiwa.

  6. DC Sabaya aagiza aliyeuza eneo kwa wananchi asakwe

    Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ameliagiza Jeshi la polisi kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wilayani humo kumsaka aliyekuwa mtendaji wa mtaa wa Jiweni...

  7. Aliyejifungua pacha watatu aomba msaada

    Monica Maleo (37) mkazi wa kijiji cha Mbahe aliyejifungua pacha watatu ameiomba Serikali na watu wa kada mbalimbali kumsaidia kwa kuwa hana uwezo wa kuwalea watoto hao kutokana na ugumu wa maisha.

  8. Jinsi nzige wanavyomtesa waziri, naibu wake

    Waziri wa Kilimo, Profesa Adolf Mkenda na naibu wake, Hussein Bashe wamewasili wilayani Siha Mkoa wa Kilimanjaro kusimamia shughuli ya kuwadhibiti nzige walioingia jana wilayani humo.

  9. RC Mghwira awatuhumu baadhi ya polisi wilayani Rombo

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amewashukia baadhi ya askari polisi wilayani Rombo kwa madai ya kujihusisha na kumiliki mitambo ya kutengeneza gongo.

  10. Maombi kupambana na corona yaanza Moshi

    Waumini wa Jimbo Katoliki la Moshi leo Februari 22, 2021 wameanza maombi maalumu ya saa 48 mfululizo kwa ajili ya kumwomba Mungu alinusuru Taifa na ulimwengu kwa ujumla na janga la corona.

Previous

Page 135 of 145

Next