Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

82 results for Berdina Majinge :

  1. Simulizi madai kujeruhiwa na bastola

    Wakati Jeshi la Polisi Mkoani Iringa likimshikilia Mkurugenzi wa Shule ya Sun Academy, Nguvu Chengula (50) kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi Alifan Mkwawa (35) kwa kutumia kitako cha bastola...

  2. Mkurugenzi wa shule akamatwa akituhumiwa kupiga, kujeruhi

    Jeshi la Polisi mkoani Iringa linamshikilia Mkurugenzi wa Shule ya Sun Academy Schools, Nguvu Chengula (50) kwa tuhuma za kumpiga na kujeruhi mzazi wa mwanafunzi kwa kutumia kitako cha bastola...

  3. Landesa yataka makundi yote yashirikishwe kupanga matumizi ya ardhi

    Shirika la Kimataifa la Kutetea Umiliki wa Ardhi la Landesa limesema makundi yote kwenye jamii yanatakiwa kushirikishwa kwenye mpango wa matumizi bora ya ardhi bila ubaguzi.

  4. Polisi wateketeza eka 11 za bangi Iringa

    Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limeteketeza eka 11 za mashamba ya bangi katika kata ya Udekwa wilayani Kilolo, Mkoani Iringa.

  5. Mtoto wa miaka 14 mbaroni kulawiti wenzie 19

    Mtoto mwenye umri wa miaka 14 anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Iringa akituhumiwa kuwalawiti wenzake 19 kwa nyakati tofauti

  6. Mtoto wa miaka 15 adaiwa kulawiti watoto 19 Iringa

    Mkuu wa Dawati la Jinsia la Polisi Mkoa wa Iringa, Elizabeth Swai amesema awali mtoto huyo alishafukuzwa shule kwa tabia hiyo, lakini ameioendeleza kwa shule aliyohamishiwa.

  7. Italia kushirikiana na Chuo Kikuu cha Ruaha kwenye fani ya utabibu

    Balozi wa Italia nchini Tanzania, Marco Lambard amesema nchi yake iko tayari kushirikiana na Chuo Kikuu Katoliki cha Ruaha (Rucu) katika kupanua mafunzo ya afya yatakayosaidia kupunguza uhaba wa...

  8. Wahamiaji haramu 78 wakamatwa

    Wahamiaji hao wametokea nchini Ethiopia kupitia mpaka wa Hororo (Tanga) wkielekea nchini Afrika Kusini.

  9. Wanawake watakiwa kujiamini, kuacha kulaumu historia

    Rasi wa Chuo Kikuu Kishiriki Cha Elimu cha Mkwawa, Profesa Esther Dungumaro amewataka wanawake kupaza sauti na kujiamini katika mawazo yao katika jamii.

  10. Vijana washauriwa kubadili mawazo

    Vijana wameshauriwa kuacha tabia ya kukimbilia mjini badala yake wajiunge na vyuo vya ufundi kutatua tatizo la ajira.

Previous

Page 3 of 9

Next