Search

629 results for Jesse Mikofu :

  1. Dk Mwinyi ahimiza hofu ya Mungu kwa watumishi wa umma

    Rais wa Zanzibar wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi amesema ni kuona mabadiliko makubwa ya kiutendaji kwa watumishi na wateule aliowapa majukumu ya kumsaidia

  2. Taasisi za masuala ya haki zapewa angalizo

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia ofisi za viongozi wakuu wa kitaifa ya Baraza la Wawakilishi, Machano Othman Said amezitaka taasisi zinazojihusisha na masuala ya haki kuhakikisha zinashirikiana...

  3. Polisi, ACT Wazalendo kutifuana taarifa za uhalifu Zanzibar

    Imeelezwa kuwa, hivi karibuni kumeshuhudiwa zikisambazwa taarifa kuhusu hali ya uhalifu na usalama kwa masilahi yanayoonyesha dhahiri yana malengo binafsi ya kisiasa

  4. Kamishna Hamad: Hakuna sheria inayokataza watu kula mchana Z'bar

    Kaimu Kamanda wa Polisi, Abubakar Khamis Zanzibar amesema haijathibitika kama vijana hao waliokamatwa walikuwa wanavuta bangi au wanakula mchana

  5. Dk Mwinyi: Tumuenzi Karume kuendeleza umoja wa kitaifa

    “Ni imani yangu tutaziishi tunu hizi alizotuachia Karume ambazo zitabadilisha fikra na mienendo na kuleta utendaji wenye kuboresha maisha ya wananchi,” amesema Dk Mwinyi.

  6. Makusanyo kodi Zanzibar yapaa

    Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA), imekusanya Sh559.48 bilioni kwa kipindi cha miezi tisa ya mwaka wa fedha 2023/24, miongoni mwa sababu zilizochangia ni uwekezaji miundombinu, huduma za kijamii...

  7. Mateso ya saa 8 bila umeme, Tanesco yatoa tamko

    Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limeeleza kuwa imetokea hitilafu kwenye mfumo wa njia ya kusafirishia umeme ya gridi ya Taifa.

  8. Kampuni matatani madai ya mtalii kula hadharani Zanzibar

    Kamisheni ya Utalii Zanzibar (ZCT) imeitoza faini ya Dola za Marekani 500 sawa na Sh1.3 milioni Kampuni ya utalii ya Organisateur Francophone Tours and Travel kwa madai ya kuruhusu wageni kula...

  9. Mzanzibar anyakua 30 milioni mashindano ya Qur’an Afrika Mashariki

    Kila ufikapo Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, hufanyika mashindano mbalimbali ya usomaji na uhifadhi wa Kitabu Kitukufu cha Quran alichoteremshiwa Mtume wa Mwisho, Muhammad (Rehma na amani zimshukie)

  10. Serikali yalaani unyanyasaji watu unaoendelea mwezi wa Ramadhan

    Inatokana na tukio la baadhi ya watu kupigwa kwa kula hadharani wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan

Previous

Page 3 of 63

Next