Wanazuoni wataka ujuzi mtambuka kuingizwa kwenye mitalaa Licha ya Serikali kuweka nguvu kwenye mitalaa inayotoa elimu ya ufundi, imeshauriwa kuingiza ujuzi mtambuka 'Soft Skills' kama nyenzo ya ujasiri kwa wahitimu wa vyuo katika kupata ajira.
Zahanati Manispaa ya Morogoro zapatiwa vifaa tiba Vifaa vya maabara vimetolewa kwenye zahanati saba kati ya 30 zilizopo Manispaa ya Morogoro vitakavyosaidia wananchi kuacha kutembea umbali mrefu kufuata huduma ya vipimo
Askofu KKKT: Acheni kuozesha wasichana kwa mazao Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Morogoro, imeitaka jamii kuacha tabia ya kubadilisha mazao na binadamu kwa lengo la kuozeshwa watoto wa kike na kuwaacha wasome ili...
WCF yatakiwa kusajiri watumishi kada zote Katibu Mkuu Wizara ya Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Cyprian Ruhemeja ameuagiza Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), kuona haja ya kusajili watumishi kutoka kada zote za umma na binafsi...
Mzumbe yaingia ushirikiano na mamlaka ya ega kuboresha mitaala kimtandao Chuo Kikuu Mzumbe Morogoro kimesaini mkataba wa ushirikiano na mamlaka ya Serikali Mtandao Tanzania eGA wenye lengo la kufanya kazi kwa pamoja ili kuleta mabadiliko katika mfumo wa ufundishaji...
Mmoja auawa vurugu za wafanyakazi na Askari “Nakuomba mkuu wa mkoa jambo hili lishughulikie kwa karibu na haraka ili madhara zaidi yasiendelee kutokea,” amesema Sengira.
TADB kuwapa wavuvi zana Wavuvi wanaofanya uvuvi wa mazao ya bahari wanatarajia kunufaika baada ya kupatiwa mikopo ya zana za uvuvi ili kuboresha shughuli za uvuvi.
Vijana wakulima watakiwa kupata ujuzi wa ufundi stadi Mlimba. Vijana wanaofanya shughuli za uzalishaji hasa kilimo na ufugaji, wamehimizwa kujikita kwenye ujuzi wa stadi za ufundi kwa ajili ya mustakabali wa maisha yao kwa sababu ufundi ni mtaji wa...
Mahakama kulinda aina 3,000 ya wanyamapori waliopo hatarini Majangili wanapojitajirisha kupitia wanyamapori na misitu kiharamu wasiposhughulikiwa faida wanazozipata zinatumika katika vitu vingi vya haramu ikiwemo kufanya ugaidi.
Tanzania kinara anuani za makazi Afrika Asilimia 95 ya utekelezaji wa zoezi la anuani za makazi nchini zimeifanya Tanzania kuwa kinara kwa Bara la Afrika ikilinganishwa na nchi nyingine tangu kuanza kwa program hiyo mwaka 2010.