Search

1164 results for Mussa Juma :

  1. Kamishna azuia utoaji hati eneo lenye mgogoro Arusha

    Kamishna wa Ardhi Mkoa wa Arusha, amezuia kutolewa hati za umiliki wa ardhi katika eneo la ekari sita, lililopo Kata ya Olmoti jijini Arusha kutokana na kuwapo mgogoro kwa miaka 17 sasa.

  2. ACT Wazalendo yaanza mchakato kumpata mrithi wa Zitto

    Mpaka sasa viongozi kadhaa wanatajwa kutaka kurithi nafasi hiyo, baadhi yao ni pamoja na Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo – Tanzania Bara, Dorothy Semu, Makamu Mwenyekiti – Zanzibar, Othman...

  3. Jinsi fundi simu alivyotekwa Kariakoo

    Zimepita siku 56 tangu Innocent Elias Liveti (34) maarufu Macheni, alipotekwa na watu wawili waliokuwa na gari ambalo hadi sasa halijatambuliwa karibu na duka lake la simu Kariakoo, jijini Dar es...

  4. Burunge WMA yapewa gari kudhibiti ujangili, migogoro

    “Gari hili ni sehemu ya makubaliano yetu na watatua gari jingine na tunatarajia pia wataendelea kushirikiana na WMA katika kulinda hifadhi hiyo ili kuendeleza Utalii,” amesema Mwenyekiti wa Bodi...

  5. Mchakato uboreshaji kanuni biashara ya Tanzanite waendelea

    Julai 7, 2021 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitoa maelekezo ya Serikali kupiga marufuku biashara ya madini ghafi ya Tanzanite kufanyika nje ya Mirerani

  6. Bei ya sukari yafunga kiwanda Arusha

    Serikali imetoa kibali kwa wenye viwanda kuagiza sukari tani 100,000 itakayowasili nchini kati ya Januari 23 – 24, mwaka huu.

  7. Askofu Malasusa aingizwa kazini, apewa zigo la changamoto

    Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limemsimika na kumuingiza kazini, Dk Alex Malasusa kuwa mkuu wa kanisa hilo, huku akitakiwa kuhakikisha analiongoza kanisa hilo kwa haki na...

  8. Simulizi mfanyabiashara Dar alivyotekwa

    Ni zaidi ya mwezi mzima sasa, mfanyabiashara Mussa Mziba (37) haonekani nyumbani kwake, ofisini kwake wala mitaani. Mkewe na watoto, ndugu jamaa na marafiki wameshikwa na taharuki, wasijue...

  9. Mwanahabari achaguliwa mwenyekiti ACT Wazalendo Manyara

    Mwandishi wa habari mwandamizi, Said Njuki amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa ACT Wazalendo Mkoa wa Manyara kwa kipindi cha miaka mitano.

  10. Takukuru ‘kukomaa’ na Polisi waliofungwa miaka 20 kwa kuchukua Sh73 milioni za msaidizi wa Mwalimu Nyerere

    Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumamosi Januari 13, 2024, Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Arusha, Zawadi Ngailo amesema kwa sasa wanasubiri nakala ya hukumu hiyo ndipo waone hatua wanazoweza...

Previous

Page 3 of 117

Next