Search

190 results for Peter Akaro :

 1. Huyu ndiye Gardner G Habash ‘Kapteni’ wa Jahazi la Clouds

  Gardner ambaye ni baba mzazi wa msanii wa Bongofleva, Malkia Karen, hadi anaugua alikuwa bado anatangaza kipindi cha Jahazi.

 2. Rihanna anataka mtoto wa kike

  Staa wa Pop duniani na mshindi mara tisa wa Grammy, Rihanna ambaye ni mama wa watoto wawili wa kiume, amesema angetamani kupata watoto zaidi ila kiu yake sasa ni kupata mtoto wa kike.

 3. Zuchu kuendeleza ubabe TMA na kumtikisa Diamond?

  Ndilo swali la wengi kwa Zuchu baada ya Baraza la Sanaa Taifa (Basata), kutangaza kuwa Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) 2023/24 zitafanyika Juni 15 mwaka huu, huku kwa mara kwanza zikirushwa...

 4. Siku 1,460 za Queen Darleen nje ya studio

  Mwimbaji wa Bongo Fleva na ‘First Lady’ wa WCB Wasafi, Queen Darleen rasmi ametimiza miaka minne sawa na siku 1,460 akiwa nje ya Bongo Fleva kitu ambacho ni mara ya kwanza kuonekana kwa wasanii...

 5. Taylor Swift awapigia saluti mashabiki wake

  Mwimbaji wa Pop Marekani, Taylor Swift, 34, amewashukuru mashabiki wake kwa kumpigia kura na kumwezesha kushinda tuzo ya iHeartRadio Music Awards 2024 kama Msanii Bora wa Mwaka.

 6. Jay Melody anatoa changamoto kubwa tuzo za TMA

  Katika tuzo za muziki Tanzania (TMA) mwaka huu, Jay Melody anawapa changamoto wasanii wenzake katika kipengele cha Wimbo Bora wa Mwaka 2023, ambacho alikishinda msimu uliopitia kupitia wimbo...

 7. Queen Latifah: Afya yangu ni muhimu kuliko kazi yangu 

  Mkongwe wa Hip Hop Marekani, Queen Latifah amesema hawezi kuruhusu maisha yasiyofaa na hatari kwa afya yake haswa linapokuja suala la kazi.

 8. Zuchu ajifunze kwa Yemi Alade

  Tangu mwaka 2022 nyimbo zote za Zuchu zinazotoka ni kete muhimu katika mapambano yake ya kuepuka mtego uliomnasa staa wa Nigeria, Yemi Alade kwenye muziki kwa miaka zaidi ya mitano sasa licha ya...

 9. Mbinu inayompa Billnass mafanikio kimuziki

  Akiwa na miaka 10 ndani ya Bongo Fleva tangu ametoka rasmi kimuziki, Billnass amesalia kuwa yule yule katika mtindo na mbinu za kutoa kazi zake kitu ambacho kimempa mafanikio kwa kuendelea kubaki...

 10. Albamu ya kwanza ya Tems kuachiwa mwaka huu

  Baada ya kushiriki kuandika nyimbo za mastaa wakubwa duniani kama Beyonce na Rihanna, hatimaye Temilade Openiyin ‘Tems’ kutokea nchini Nigeria ametangaza kuwa mwaka huu ataachia albamu yake ya...

Previous

Page 3 of 19

Next