Elon Musk kuwekeza Tanzania Wakati Tanzania ikipokea maombi ya huduma ya intaneti kwa njia ya setelaiti (Starlink), wadau wamesema itachochea uchumi wa kidijitali na itakuwa nafuu na yenye kasi.
Mshtuko wanasoka na dawa za kulevya Wanasoka wamekumbwa na mshtuko kufuatia taarifa za kukamatwa kwa Kocha wa makipa wa Klabu ya Simba, Muharami Sultan (40) akidaiwa kuwa na dawa za kulevya.
Vita ya vigogo CCM hapatoshi Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM inakutana jana kuchuja majina ya wagombea wa nafasi za uongozi mkoa, ambao baadhi yao watakuwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa.
Mganga wa jadi jela kwa kosa la kumuua mwenzake wakigombea mwanamke Mganga wa kienyeji, Ismail Ramadhani (27) amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela, baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mwanaume mwenzake bila kukusudia, wakiwa wanagombania...
Familia sita zavamiwa, wanne wajeruhiwa kwa mapanga Dar Familia sita zinazoishi mtaa wa Kwembe Mpakani jijini Dar es Salaam zimevamiwa na vibaka na kujeruhiwa kwa mapanga, huku pia vibaka hao wakiiba mali za familia hizo.
Taso yaiomba Serikali kuwarejeshea majengo, mabanda Chama cha Wakulima Tanzania (Taso) kimeiomba Serikali kurejesha umiliki wa majengo na mabanda ya maonyesho ya wakulima Nanenane katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya baada ya Wizara ya...
Msuva aweka rekodi Taifa Stars ikihitimisha kwa sare Licha ya Taifa Stars kushindwa kwenda katika hatua inayofuata ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia, imehitimisha mechi zake kwa heshima huku Simon Msuva akiweka rekodi.
KESI YA UHAINI 1985:Tamimu auawa, kesi ya wenzake yaanza-2 Jana tuliona jinsi mambo yalivyokuwa alipofuatwa nyumbani kwake Kinondoni Mkwajuni na wanausalama, kinara wa mapinduzi, Mohamed Tamimu baada ya kuruka ukuta na kutoroka huku wanausalama...
Ulikuwa mwaka wa tamthilia za kisiasa, misiba mikubwa nchini Kwa Paul Makonda, aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, mwaka 2020 umekuwa pigo kwake. Alipoteza ukuu wake akiutaka ubunge alioukosa.
Kwa hili la umri Simba wamepiga bao MASHABIKI wa Simba na Yanga wamezoeleka kutupiana vijembe kuhusu umri wa wachezaji. Utasikia “jamaa wamesajili wazee, ooh!! Ile ni timu ya wazee, sasa yule si anacheza na wajukuu zake kabisa.”...